Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Bungeni Leo Katika Picha

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongea na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Suleiman Jaffo, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 9, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Naibu Waziri wa Nishati Subira Mgalu (kushoto), Bungeni jijini Dodoma, Aprili 9, 2019 katikati ni Mbunge wa Viti Maalum Salma Kikwete.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Suleiman Jaffo, akiongea Bungeni jijini Dodoma, Aprili 9, 2019.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji Angela Kairuki, akiongea Bungeni jijini Dodoma, Aprili 9, 2019.

56 thoughts on “Bungeni Leo Katika Picha

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama