Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio katika Picha: Ziara ya Dkt. Abbasi na Ujumbe Wake Nchini China

Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi na Ujumbe wake wakipewa maelezo ya kiutendaji wa kazi za kila siku zinazofanywa na Shirika la Habari la CCTV na CGTN kutoka kwa mmoja wa viongozi wa juu wa Shirika hilo mapema Jana jijini Beijing, China.

Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akiwa katika moja ya chombo cha habari cha Beijing nchini China anakoendelea na ziara yake inayolenga kujifunza, kubadilishana uzoefu na kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.

Picha mbalimbali za ziara ya Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi na Ujumbe wake alipotembelea vyombo vya habari vya CCTV na CGTN na China Redio Kimataifa Beijing China.

 

182 thoughts on “Matukio katika Picha: Ziara ya Dkt. Abbasi na Ujumbe Wake Nchini China

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama