Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Dkt. John Pombe Magufuli Awaapisha Majaji wa Mahakama Kuu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Jamhuri wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati wa hafla ya kuwaapisha Majaji wapya wa Mahakama Kuu, Wakili Mkuu wa Serikali (SG) na Naibu Wakili Mkuu (DSG), Naibu Mwendesha Mashtaka (DDPP) pamoja na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali (DAG) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi akisisitiza jambo wakati wa hafla ya kuwaapisha Majaji wapya wa Mahakama Kuu, Wakili Mkuu wa Serikali (SG) na Naibu Wakili Mkuu (DSG), Naibu Mwendesha Mashtaka (DDPP) pamoja na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali (DAG) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Jamhuri wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na kushoto ni Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Profesa Ibrahim Juma.

Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Profesa Ibrahim Juma akitoa nasaha wakati wa hafla ya kuwaapisha Majaji wapya wa Mahakama Kuu, Wakili Mkuu wa Serikali (SG) na Naibu Wakili Mkuu (DSG), Naibu Mwendesha Mashtaka (DDPP) pamoja na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali (DAG) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Jamhuri wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.

Jaji Elvin Mugeta akila kiapo mbele ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli, cha kuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania wakati wa hafla ya kuwaapisha Majaji wapya wa Mahakama Kuu, Wakili Mkuu wa Serikali (SG) na Naibu Wakili Mkuu (DSG), Naibu Mwendesha Mashtaka (DDPP) pamoja na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali (DAG) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.Wapili kulia anayeshuhudia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi.

Rais John Pombe Magufuli akimpongeza Naibu Wakili Mkuu wa Serikali (DSG), Dkt. Ally Salehe Posi(kulia) mara baada ya kumkabidhi zana za kazi katika hafla ya kuwaapisha Majaji wapya wa Mahakama Kuu, Wakili Mkuu wa Serikali (SG) na Naibu Wakili Mkuu (DSG), Naibu Mwendesha Mashtaka (DDPP) pamoja na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali (DAG) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Dkt. Evarist Emmanuel Lungopa akila kiapo mbele ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli, kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika hafla ya kuwaapisha Majaji wapya wa Mahakama Kuu, Wakili Mkuu wa Serikali (SG) na Naibu Wakili Mkuu (DSG), Naibu Mwendesha Mashtaka (DDPP) pamoja na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali (DAG) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.Wapili kulia anayeshuhudia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi.

Jaji Butamo Kasuka Philip akila kiapo mbele ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli, kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama Kuu katika hafla ya kuwaapisha Majaji wapya wa Mahakama Kuu, Wakili Mkuu wa Serikali (SG) na Naibu Wakili Mkuu (DSG), Naibu Mwendesha Mashtaka (DDPP) pamoja na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali (DAG) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.Wapili kulia anayeshuhudia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi.

Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu Harold Nsekela akiwaongoza majiji na vingozi wengine kula kiapo cha uadilifu katika hafla ya kuwaapisha Majaji wapya wa Mahakama Kuu, Wakili Mkuu wa Serikali (SG) na Naibu Wakili Mkuu (DSG), Naibu Mwendesha Mashtaka (DDPP) pamoja na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali (DAG) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya viongozi wa Serikali wakifuatilia hafla ya kuwaapisha Majaji wapya wa Mahakama Kuu, Wakili Mkuu wa Serikali (SG) na Naibu Wakili Mkuu (DSG), Naibu Mwendesha Mashtaka (DDPP) pamoja na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali (DAG) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya Majaji mara baada ya kumalizika kwa hafla ya kuwaapisha Majaji wapya wa Mahakama Kuu, Wakili Mkuu wa Serikali (SG) na Naibu Wakili Mkuu (DSG), Naibu Mwendesha Mashtaka (DDPP) pamoja na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali (DAG) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dotto James akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda walipokutana katika hafla ya kuwaapisha Majaji wapya wa Mahakama Kuu, Wakili Mkuu wa Serikali (SG) na Naibu Wakili Mkuu (DSG), Naibu Mwendesha Mashtaka (DDPP) pamoja na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali (DAG) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Jamhuri wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Majaji wapya wa Mahakama Kuu, Wakili Mkuu wa Serikali (SG) na Naibu Wakili Mkuu (DSG), Naibu Mwendesha Mashtaka (DDPP) pamoja na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali (DAG) wakati wa hafla ya kuwaapisha leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. (Picha na: Frank Shija – MAELEZO)

35 thoughts on “Rais Dkt. John Pombe Magufuli Awaapisha Majaji wa Mahakama Kuu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama