Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari wakutana na Watumishi wa kituo cha Dar es Salaam.

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Suzan Mlawi akizungumza na Watumishi wa Wizara hiyo waliopo katika kituo cha Dar es Salaam leo ambapo amewataka kufanya kazi kwa bidii na kufuata Sheria za Utumishi wa Umma.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Nicholaus Willium akizungumza na Watumishi wa Wizara hiyo waliopo katika kituo cha Dar es Salaam leo ambapo amewataka kufanya kazi kwa kujituma na kwa ushirikiano.

Mkurugenzi Idara ya Habari MAELEZO na Msemaji wa Serikali Dkt. Hassan Abbas akizungumza wakati wa kikao cha Watumishi wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo waliopo katika kituo cha Dar es Salaam leo Jijini Dar es Salaam .

159 thoughts on “Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari wakutana na Watumishi wa kituo cha Dar es Salaam.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama