Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Tanzania Yaadhimisha Siku ya Kupunguza Athari za Maafa

Mkurugenzi Msaidizi (Mipango na Tafiti) Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Bashiru Taratibu akieleza umuhimu wa makazi salama wakati cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupunguza Maafa yenye Kaulimbiu “MAKAZI SALAMA:Punguza Makazi katika maeneo Hatarishi, Punguza Kuhama Kutokana na Maafa” yaliyoadhimishwa katika Viwanja vya Nyerere Square Dodoma Oktoba 13, 2017.

Na: Frank Mvungi- Maelezo Dodoma

Serikali yapima Viwanja zaidi ya milioni moja na nusu katika Halmashauri mbalimbali hapa nchini ikiwa ni moja ya mikakati ya kuondoa makazi holela na kuepusha maafa yanayotokana na matumizi ya ardhi yasiyozingatia sheria kanuni na taratibu zinazosimamia sekta ya Ardhi.

Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi Masaidizi Idara ya Uratibu wa Maafa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Bashiru Taratibu wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupunguza Maafa yaliyofanyika Kitaifa mjini Dodoma na Kuwashirikisha wananchi, wanafunzi na  wadau mbalimbali.

Mratibu Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.Edger Senga akizungumza jambo wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupunguza Maafa yaliyofanyika katika Viwanja vya Nyerere Square Oktoba 13, 2017 mjini Dodoma.

Baadhi ya Wanafunzi wa shule ya msingi Chamwino B wakisoma shairi kwa mgeni rasmi wa Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupunguza Maafa Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Bashiru Taratibu tarehe 13, Oktoba, 2017 Mjini Dodoma.

“Wananchi wazingatie sheria,Kanuni, na Taratibu  kwa kuepuka kujenga maeneo hatarishi kama mabondeni,maeneo yenye mafuriko na mengine yote yanayokatazwa kisheria ili kuepuka maafa” Alisisitiza Taratibu

Akifafanua  Taratibu amesema kuwa Viongozi wa Serikali katika maeneo yote hapa nchini wanajukumu la kusimamia sheria zilizopo ili kuepusha maafa kwa kuzingatia Kauli mbiu ya mwaka huu inayosema “MAKAZI SALAMA: Punguza Makazi katika Maeneo Hatarishi,Punguza kuhama kutokana na maafa”.

Akizungumzia mikakati ya Serikali kuondoa maafa na kupunguza uwezekano wa kutokea kwa maafa amesema kuwa Idara  ya Maafa imekuwa ikitoa elimu kwa Umma ili kuwasaidia wananchi kuwa na uelewa utakaosaidia kuepuka athari za maafa.

Aidha alitaja hatua nyingine zilizochukuliwa na Serikali kuwa ni kutungwa kwa sheria ya maafa ya mwaka 2015, Miongozo,Kanuni na kuwekwa kwa taratibu mbalimbali  za kusimamia masuala ya maafa hapa nchini.

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Bashiru Taratibu akitoa zawadi kwa mwanafunzi wa Shule ya msingi Chamwino B walioshiriki katika kusoma shairi lenye kauli mbiu ya Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupunguza Maafa ambayo inasema “MAKAZI SALAMA:Punguza Makazi katika maeneo Hatarishi, Punguza Kuhama Kutokana na Maafa” mjini Dodoma Oktoba 13, 2017.

Mwalimu wa Shule ya Msingi Makole Habiba Seifu akipokea zawadi ya ushiriki wa shule yake kutoka kwa Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Bashiru Taratibu wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupunguza Maafa yanayoadhimishwa kila tarehe 13 Oktoba,2017.

Kwa upande wake mratibu wa maafa Wilaya ya Chamwino Bi Lilian Zakaria amesema kuwa wamekuwa wakitoa elimu kuanzia ngazi ya Wilaya  hadi Vijjiji wakishirikisha Kamati za Maafa katika ngazi zote ili kuwajengea wananchi uwezo wa kupambana na maafa  pale yanapotokea na pia kuzuia viashiria vyake.

Pia Bi Zakaria amewataka wananchi kuepuka kujenga na kuishi katika maeneo hatarishi na kuzingatia taratibu zote zilizowekwa na Serikali kuepuka maafa.

 Naye Mwakilishi wa Asasi za Kirai Bw. Mussa Mussa amesema kuwa  wanaunga mkono juhudi za Serikali katika kupambana na maafa hali inayosababisha wananchi kuishi salama katika maeneo mbalimbali hapa nchini.

Mkurugenzi Msaidizi (Mipango na Tafiti) Idara ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Bashiru Taratibu (katika) akifuatilia shairi kutoka kwa wanafunzi wa shule ya msingi Makole (hawapo pichani) wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupunguza Maafa yanayoadhimishwa kila tarehe 13 Oktoba,2017 Duniani. (PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU – DODOMA)

Chimbuko la Siku ya Kimataifa ya Kupunguza Maafa ilitokana na Azimio Na. 64/200 lililopitishwa na Baraza la Umoja wa Mataifa tarehe 21 Desemba, 2009 ambapo iliamuliwa Oktoba 13 ya kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Kupunguza Maafa ikiwa na lengo la Kukuza utamaduni wa kupunguza madhara ya maafa kimataifa, ikiwa ni pamoja na kuzuia, kupunguza madhara, Kujitayarisha, Kukabili na Kurejesha hali kuwa bora zaidi na mwaka huu kaulimbili inasema: “MAKAZI SALAMA: Punguza Makazi katika Maeneo Hatarishi, Punguza Kuhama kutokana na Maafa

10 thoughts on “Tanzania Yaadhimisha Siku ya Kupunguza Athari za Maafa

 • October 26, 2020 at 2:23 pm
  Permalink

  I’d like to cancel a cheque how many ibuprofen can a 10 year old take A handful of protests are planned. If violence breaks out near the pope, the world may once again see images of demonstrators enveloped by clouds of tear gas, stun grenades ricocheting off stately buildings and rubber bullets whizzing through the air.

  Reply
 • October 26, 2020 at 2:51 pm
  Permalink

  I’ve been made redundant use tamoxifen citrate pct Turkey, a member of the NATO military alliance, said inSeptember it had chosen the FD-2000 missile defence system fromChina Precision Machinery Import and Export Corp, or CPMIEC,over rival systems from Russian, U.S. and European firms.

  Reply
 • October 26, 2020 at 3:09 pm
  Permalink

  Thanks for calling flagyl metrodinazole for sale The Finnish Nokia, which started as a rubbercompany, became a dominant global player on the mobile phonemarket over 2000-2010, creating wealth and high-value added jobsfor the sparsely populated Scandinavian country.

  Reply
 • October 26, 2020 at 3:10 pm
  Permalink

  Do you like it here? can advil and tylenol cause constipation Norwegian Cruise Line CEO Kevin Sheehan was born and raised in the city. While at Hunter College, he drove a cab. At Norwegian, he envisioned the line’s newest mega cruise ship — the largest ever to port year-round in New York — as a waterborne version of Manhattan. Mission accomplished.

  Reply
 • October 26, 2020 at 11:11 pm
  Permalink

  Where did you go to university? is naproxen legal in spain The rise of synthetically produced performance enhancers, Bradley says, removed much of the stigma around steroids. Their use came to seem like a simple medical procedure, akin to cortisone shots in a fitness regimen.

  Reply
 • October 27, 2020 at 2:52 am
  Permalink

  I’m training to be an engineer cefadroxil sirup kering Native or near-native English speakers have a head start in life as they possess the lingua franca of the modern world. I continue to take full advantage of that fact, with some very exciting linguistic projects under way and lined up for the 2014 World Cup and 2016 Olympics in Brazil.

  Reply
 • October 27, 2020 at 5:36 am
  Permalink

  Could you give me some smaller notes? augmentin price pakistan The Indian rupee and Turkish lira have sunk to record lows against the dollar, while the Indonesian rupiah has hit a four-year low. Mexico and Korea have faced pressure, as has Brazil, which last week put up $60 billion to stem the real’s slide.

  Reply
 • October 27, 2020 at 9:08 am
  Permalink

  I’ll text you later pastillas nexium precio The executive added that MRS Logistica, a local railroadoperator that Vale has a minority stake in, analyzed possibleparticipation in MMX’s Porto do Sudeste port project but saidneither MRS nor Vale plan to bid for the whole company.

  Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama