Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Kikao Kazi cha Wafanyakazi wa JKCI

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akifafanua mapato na matumizi ya Taasisi hiyo katika kikao cha wafanyakazi kilichofanyika leo Jijini Dar es Salaam.

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Uhasibu na Fedha wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Robert Gimbi akizungumza kuhusu umuhimu wa kuwashirikisha watumishi katika uandaaji wa bajeti katika mkutano wa wafanyakazi wa Taasisi hiyo uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Tulizo Shemu.

Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Edna Kajuna akielezea umuhimu wa kutoa huduma bora kwa wagonjwa wanaotibiwa katika Taasisi hiyo wakati wa kikao cha wafanyakazi kilichopfanyika leo Jijini Dar es salaam.

Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi (hayupo pichani) wakati wa kikao cha wafanyakazi kilichofanyika leo Jijini Dar es Salaam. (Picha na JKCI)

195 thoughts on “Kikao Kazi cha Wafanyakazi wa JKCI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama