Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Zoezi la Uhakiki Vyama vya Siasa Lahitimishwa

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akielezea jambo mbele ya ugeni kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) walipomtembelea ofisini kwake wakati wa zoezi la uhakiki wa uhai wa vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu katika Ofisi ya Makao Mkuu ya Chama hicho jijini Dodoma leo. Kutoka kushoto ni Katibu wa NEC – Oganaizesheni wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Pereira Ami Silima, Mkuu wa Kitengo cha Usajili wa Vyama vya Siasa, Muhidin Mapeyo na Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza.

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally Kakurwa (kulia) akiteta jambo na Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa (ARPP), Sisty Nyahoza wakati wa zoezi la uhakiki wa uhai wa vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu katika Ofisi ya Makao Mkuu ya Chama hicho jijini Dodoma leo.

Katibu wa NEC –Idara ya Oganaizesheni ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Pereila Ami Silima akizungumza wakati wa zoezi la uhakiki wa uhai wa vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu katika Ofisi ya Makao Mkuu ya chama hicho jijini Dodoma leo. Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) imeendesha zoezi la uhakiki ikiwa ni utaratibu wa kawaida wa kukagua uhai wa vyama vya siasa nchini.

Katibu Msaidizi Mkuu Idara ya Oganaizesheni ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Mwangi Rajab Kundya akitoa maelezo wakati wa zoezi la uhakiki wa uhai wa vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu katika Ofisi ya Makao Mkuu ya chama hicho jijini Dodoma leo. Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) imeendesha zoezi la uhakiki ikiwa ni utaratibu wa kawaida wa kukagua uhai wa vyama vya siasa nchini.

Kutoka kushoto ni Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza,Mkuu wa Kitengo cha Usajili wa Vyama vya Siasa, Muhidin Mapeyo na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Elimu ya Uraia mersin escort bayan canlı bahis siteleri sex hattı canlı bahis toka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP), Abuu Kimario wakikagua baadhi ya nyaraka za usajili wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakati wa zoezi la uhakiki wa uhai wa vyama vya siasa siasa vyenye usajili wa kudumu katika ofisi za Makao Makuu ya chama hicho leo jijini Dodoma.

Mkuu wa Kitengo cha Sheria wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Goodluck Mwangomango akifafanua jambo mbele ya ujumbe kutoka Ofisi ya Masjili wa Vyama vya Siasa (ORPP) wakati wa zoezi la uhakiki wa uhai wa vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu katika ofisi za Makao Makuu ya chama hicho leo jijini Dodoma.Kushoto ni Afisa Tehama wa CCM, Magoti Marwa na kulia ni Katibu Msaidizi Mkuu – Idara ya Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa wa CCM, Christopher Magala.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akionyesha hati za usajili na bodi ya wadhamini za CCM wakati wa zoezi la uhakiki wa uhai wa vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu katika ofisi za Makao Makuu ya chama hicho leo jijini Dodoma. Kanuni za Sheria ya Usajili wa Vyama vya Siasa ya Mwaka 2019 inataka hati hizo kutundikwa ukutani katika ofisi za vyama hivyo.

Katibu Msaidizi Mkuu – Idara ya Uchumi na Fedha, Victor Septemba Patrick akifafanua jambo mbele ya ujumbe kutoka Ofisi ya Masjili wa Vyama vya Siasa (ORPP) wakati wa zoezi la uhakiki wa uhai wa vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu katika ofisi za Makao Makuu ya chama hicho leo jijini Dodoma.

Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa (ARPP), Sisty Nyahoza akifurahia jambo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Awamu ya Nne na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mhe. Mizengo Pinda walipokutana katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma leo walipofika katika ofisi hizo kwa ajili ya zoezi la uhakiki wa uhai wa vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu katika ofisi za Makao Makuu ya chama hicho leo jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa -ORPP).

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akielezea jambo wajumbe kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) MARA mara baada ya kumaliza zoezi la uhakiki wa uhai wa vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu katika ofisi za Makao Makuu ya chama hicho leo jijini Dodoma.

9 thoughts on “Zoezi la Uhakiki Vyama vya Siasa Lahitimishwa

 • August 12, 2020 at 8:11 am
  Permalink

  Hey there! Do you know if they make any plugins to safeguard
  against hackers? I’m kinda paranoid about losing
  everything I’ve worked hard on. Any recommendations? adreamoftrains web hosting providers

  Reply
 • August 14, 2020 at 1:26 pm
  Permalink

  I every time emailed this blog post page to all my associates,
  as if like to read it next my friends will too.

  Reply
 • August 31, 2020 at 6:15 pm
  Permalink

  Thanks a bunch for sharing this with all of us you really recognize
  what you’re speaking approximately! Bookmarked. Please also talk
  over with my web site =). We will have a
  link change contract between us

  Reply
 • October 18, 2020 at 5:44 am
  Permalink

  must; flaw had to or in asymptomatic testing obligated to). cialis otc the snips. Blubber to befog quantity pigmentation and instrumentation toenails.

  Reply
 • May 20, 2021 at 2:30 am
  Permalink

  best free dating website london
  [url=”http://datingsiteslet.com/?”]free pagan dating sites[/url]

  Reply
 • May 26, 2021 at 11:43 pm
  Permalink

  free dating website fish
  [url=”http://datingsiteslet.com/?”]brows free dating on line no reistration required[/url]

  Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama