Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Ziara ya Waziri Mkuu Nchini Misri katika Picha

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea picha ya Rais Magufuli iliyochorwa na binti wa dereva wa Ubalozi wa Tanzania nchini Misri, Hadeer Mohamed, kwenye mkutano na Watanzania waishio nchini Misri, uliyofanyika katika hoteli ya Almasa, mjini Cairo, Julai 9.2019. Katikati ni Balozi wa Tanzania nchini Misri, Meja Jenerali Mstaafu, Issa Suleiman.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia bidhaa ya ngozi wakati alipotembelea kiwanda kikubwa cha ngozi cha Robbiki, kilichopo katika mkoa wa Sharkia, nchini Misri,Julai 9.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea zawadi ya ngao kutoka kwa Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mfereji wa Suez Canal, Admiral Mohab wakati alipotembelea mfereji huo mpya nchini Misri, Julai 9.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mfereji wa Suez Canal, Admiral Mohab, wakati alipotembelea mfereji huo mpya nchini Misri,Julai 9.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mfereji wa Suez Canal, Admiral Mohab, wakati alipotembelea mfereji huo mpya nchini Misri,Julai 9.2019.

472 thoughts on “Ziara ya Waziri Mkuu Nchini Misri katika Picha

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama