Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Ziara ya Mheshimiwa Waziri Mkuu Mkoani Singida

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na mtaalam wa maabara, Bahati Ipunda, wakati akikagua kituo cha afya cha Wilaya ya Ikungi, mkoani Singida, Oktoba 6.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi, baada ya kukagua kituo cha afya cha Wilaya ya Ikungi, mkoani Singida, Oktoba 6.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikagua kituo cha afya cha Ndago, kilichopo katika Wilaya ya Iramba, mkoani Singida, Oktoba 6.2019.

0362Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa ameshika kipande cha tofali, kilichobomoka, wakati akikagua kituo cha afya cha Ndago, wilayani Iramba, katika Mkoa wa Singida, na kutoridhishwa na ujenzi wa kituo hicho, Oktoba 6.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikagua chumba cha kufanyia upasuaji, katika kituo cha afya cha Ndago, kilichopo katika Wilaya ya Iramba, mkoani Singida, Oktoba 6.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

24 thoughts on “Ziara ya Mheshimiwa Waziri Mkuu Mkoani Singida

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama