Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Ziara ya Majaliwa Karagwe na Kyerwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa zamani wa Karagwe, Gozibert Blandes baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Kayanga Changarawe, uliopo Karagwe, Oktoba 7, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Nkwenda wilayani Kyerwa baada ya kukagua kiwanda cha kukoboa kahawa cha Nkenda, Oktoba 7, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Nkwenda wilayani Kyerwa baada ya kukagua kiwanda cha kukoboa kahawa cha Nkenda, Oktoba 7, 2018.

62 thoughts on “Ziara ya Majaliwa Karagwe na Kyerwa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *