Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Zaidi ya Shilingi Milioni 183 Kuhudumia Timu za Taifa

“Serikali imefanya uwekezaji mkubwa katika timu za Taifa za Wanawake ambapo kupitia uwekezaji huu, timu hizi zimeendelea kufanya vizuri katika ukanda wa CECAFA na COSAFA na pia umeiwezesha timu ya Serengeti Girls kufuzu Mashindano ya Kombe la Dunia nchini India”, amesisitiza Mhe. Gekul

Aidha, akijibu swali la nyongeza la Mbunge huyo, kuhusu Serikali kukuza vipaji vinavyotokana na Mashindano ya UMITASHUMTA na UMISSETA, Naibu Waziri Gekul amesema, Wizara hiyo kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na Ofisi ya Rais – TAMISEMI zinashirikiana kuhakisha michezo hiyo inaendelea na inakuza na kutengeneza Wanamichezo wengi kwa ajili ya taifa na kutengeneza ajira.

Mhe. Gekul, ametumia nafasi hiyo kumpongeza na kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan kwa kurudisha michezo hiyo ambayo inaendelea kuzalisha wanamichezo wengi nchini.

One thought on “Zaidi ya Shilingi Milioni 183 Kuhudumia Timu za Taifa

  • November 10, 2022 at 10:16 pm
    Permalink

    In addition, dummy variables were used in our multivariable model to examine the association for each level of the interaction buy nolvadex pct

    Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama