Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Wizara Yathibitisha Mgonjwa wa Kwanza wa Corona Nchini

 

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, akizungumza na Waandishi wa Habari(hawapo pichani), kuhusu kugundulika kwa Mgonjwa wa Corona nchini, mkutano ambao ulifanyika Jijini Dar es Salaam, kulia ni Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dkt. Tigest Katsela Mangestu na kushoto ni Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile

Na.Mwandishi Wetu

Serikali kupitia Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mhe.Ummy Mwalimu imethibitisha kuwepo ka mgonjwa mmoja wa Corona ambapo amewasisitiza  wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa huo.

Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam, Waziri Ummy alisema  kuwa Machi 15, 2020 aligundulika mgonjwa mmoja mwanamke mwenye umri wa miaka 46 ambaye aliwasili na ndege ya Rwandair akitokea nchini Ubelgiji.

“Mwanamke huyu aliondoka nchini Machi 5, 2020 na alitembelea nchi za Sweden na Denmark machi 5-13 na baada ya hapo alirudi Ubelgiji na kurejea nchini machi 15, 2020, mgonjwa huyu alipita katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, KIA na alipimwa na kuonekana hana ugonjwa huo baadae akiwa hotelini alianza kujihisi vibaya na alikwenda katika hospitali ya Rufaa Mt.Meru na sampuli ilichukuliwa na kupelekwa maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii ambapo majibu yemekuja amegundulika kuwa na Corona”, Alisema Waziri Ummy.

Alisema kuwa serikali inaendelea kuchukua tahadhari, pia aliwataka wanachi kuendelea kujikinga kwa kufuata ushauri unaotolewa na wataalamu wa Afya  wakishirikiana na Shirika la Afya duniani  WHO ili kuepuka kusambaa zaidi kwa virusi hivyo.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, akizungumza na Waandishi wa Habari(hawapo pichani), kuhusu kugundulika kwa Mgonjwa wa Corona nchini, mkutano ambao ulifanyika Jijini Dar es Salaam, kushoto ni Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile

Aidha Waziri Ummy alisema kuwa katika Taasisi zote ambazo mikusanyiko ni mikubwa na watu kukutana mara kwa mara zikiwemo, Shule, hoteli, maduka ya biashara, nyumba za kulala wageni, makanisa, misikiti, Ofisi za Umma na Binafsi na sehemu za kutolea huduma za Afya pamoja na sehemu nyingine za mikusanyiko mbalimbali kuweka vifaa vya kunawia zikiwa na maji safi yanayotiririka na yenye Klorini.

Hatua nyingine za kujikinga ni pamoja na  kuweka maji dawa ya Klorini au vitakasa mikono, kuweka maji yenye Klorini katika vituo vya mabasi ya abiria, kuepuka kusalimiana kwa mikono, kukumbatiana, kugusa pua, mdomo pamoja na macho kadri inavyowezekana.

Waziri huyo wa Afya amezitaka hospitali zote kuhakikisha kuwa ndugu na jamaa wanaoenda kuona wagonjwa angalau wawe wawili na kutoa taarifa kituo cha Afya endepo atapatikana mtu mwenye dalili za Corona.

17 thoughts on “Wizara Yathibitisha Mgonjwa wa Kwanza wa Corona Nchini

 • August 12, 2020 at 12:11 am
  Permalink

  If you are going for finest contents like myself, just visit this website all the time since
  it presents feature contents, thanks adreamoftrains website host

  Reply
 • August 25, 2020 at 6:35 am
  Permalink

  Hey! Quick question that’s completely off topic.
  Do you know how to make your site mobile friendly?
  My weblog looks weird when viewing from my apple iphone.
  I’m trying to find a theme or plugin that might be
  able to correct this issue. If you have any recommendations, please
  share. Thank you! 2CSYEon cheap flights

  Reply
 • August 27, 2020 at 5:09 am
  Permalink

  I don’t know whether it’s just me or if everyone else experiencing problems with your
  website. It appears as though some of the text in your
  content are running off the screen. Can someone else please provide feedback and let me know if this is happening to them too?
  This may be a issue with my internet browser because
  I’ve had this happen before. Appreciate it

  Reply
 • August 27, 2020 at 11:50 pm
  Permalink

  Hi Dear, are you in fact visiting this site on a regular basis,
  if so afterward you will without doubt obtain nice know-how.

  Reply
 • August 28, 2020 at 4:43 am
  Permalink

  I every time emailed this web site post page to all my associates, as if like to read it
  after that my friends will too.

  Reply
 • August 31, 2020 at 6:07 am
  Permalink

  It’s perfect time to make some plans for the future and it’s time to be happy.
  I have read this post and if I could I desire to suggest you few
  interesting things or advice. Maybe you could write next articles referring to this article.
  I desire to read even more things about it!

  Reply
 • June 21, 2021 at 5:23 am
  Permalink

  Hey There. I found your blog the use of msn. This is a very smartly
  written article. I will be sure to bookmark it and return to read extra
  of your useful info. Thanks for the post. I will definitely comeback.

  Reply
 • July 12, 2021 at 7:49 pm
  Permalink

  I have been exploring for a little bit for any high-quality articles or weblog posts in this kind of space .

  Exploring in Yahoo I ultimately stumbled upon this website.
  Reading this info So i am satisfied to exhibit that I’ve
  a very good uncanny feeling I came upon just what I needed.
  I such a lot for sure will make sure to don?t omit
  this web site and provides it a glance regularly.

  Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama