Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri wa Nishati na Naibu Waziri Wakagua Mradi wa Umeme wa Julius Nyerere

Waziri wa Nishati, January Makamba pamoja na Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato wamekagua kazi mbalimbali zinazoendelea kutekelezwa katika mradi wa umeme wa Julius Nyerere unaotekelezwa wilayani Rufiji, Mkoa wa Pwani.Ukaguzi huo umefanyika kabla ya ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdory Mpango katika mradi huo itakayofanyika tarehe 12 Oktoba, 2021.

1,464 thoughts on “Waziri wa Nishati na Naibu Waziri Wakagua Mradi wa Umeme wa Julius Nyerere