Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mwakyembe Azungumza na Watumishi wa Wizara Yake Jijini Dodoma

Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na wafanyakazi wa wizara yake katika kikao chake na wafanyakazi hao kilichofanyika leo Jijini Dodoma.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bibi. Susan Mlawi akimkaribisha Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) katika kikao baina yake na wafanyakazi wa Wizara yake leo jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Orest Mushi akijibu hoja za watumishi wa Wizara hiyo wakati wa kikao baina ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe na wafanyakazi wa wizara hiyo leo jijini Dodoma.

Kaimu Mkurugenzi wa Ununuzi na Ugavi wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bibi. Celilia Kasonga akichangia hoja wakati wa kikao baina ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) na wafanyakazi wa wizara hiyo leo jijini Dodoma.

Afisa Habari wa Idara ya Habari – MAELEZO, Bibi. Lilian Lundo akichangia hoja wakati wa kikao baina ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) na wafanyakazi wa wizara hiyo leo jijini Dodoma.

Afisa Utamaduni Bw. Mfaume Said akichangia hoja wakati wa kikao baina ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) na wafanyakazi wa wizara hiyo leo jijini Dodoma.

Baadhi ya viongozi wa Menejimenti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo pamoja na wafanyakazi wa Wizara hiyo wakifuatilia kikao baina ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) na wafanyakazi wa wizara hiyo leo jijini Dodoma.

Baadhi ya viongozi wa Menejimenti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo pamoja na wafanyakazi wa Wizara hiyo wakifuatilia kikao baina ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) na wafanyakazi wa wizara hiyo leo jijini Dodoma.

Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya viongozi wa Menejimenti ya wizara yake wakati wa kikao chake na wafanyakazi wa Wizara yake leo Jijini Dodoma.Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Orest Mushi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bibi. Susan Mlawi, Naibu Katibu Mkuu wa wira hiyo Nicholas William na Mwakilishi wa TUGHE Tawi la Wizara ya Habari, Bibi. Aurelia Ndokeji.

Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watumishi wa Idara ya Habari – MAELEZO mara baada ya kumaliza kikao baina yake na wafanyakazi wa Wizara yake leo Jijini Dodoma. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Orest Mushi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bibi. Susan Mlawi, Naibu Katibu Mkuu wa wira hiyo Nicholas William na Mwakilishi TUGHE Tawi la Wizara ya Habari, Bibi. Aurelia Ndokeji.

Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe(katikati)akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watumishi wa Vitengo vilivyo chini ya wizara yake mara baada ya kumaliza kikao baina yake na wafanyakazi leo Jijini Dodoma. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Orest Mushi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bibi. Susan Mlawi, Naibu Katibu Mkuu wa wira hiyo Nicholas William na Mwakilishi TUGHE Tawi la Wizara ya Habari, Bibi. Aurelia Ndokeji.

Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watumishi wa Idara ya Utawala na Utumishi mara baada ya kumaliza kikao baina yake na wafanyakazi leo Jijini Dodoma. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Orest Mushi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bibi. Susan Mlawi, Naibu Katibu Mkuu wa wira hiyo Nicholas William na Mwakilishi TUGHE Tawi la Wizara ya Habari, Bibi. Aurelia Ndokeji. (Picha na: MAELEZO)

One thought on “Waziri Mwakyembe Azungumza na Watumishi wa Wizara Yake Jijini Dodoma

  • June 19, 2021 at 10:03 am
    Permalink

    460506 592929I feel this internet site has got some really excellent info for every person : D. 426539

    Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama