Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mkuu Majaliwa Akutana na Rais wa Makampuni ya CCECC na Ujumbe Wake

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Makampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) , Bw. Zhao Dianlong wakati alipozungumza na ujumbe wa Makampuni hayo kutoka Tanzania, Afrika Mashariki na China, ofisini kwake mjini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na ujumbe kutoka Makampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) kutoka Tanzania, Afrika Mashariki na China, ofisini kwake mjini Dodoma Aprili 8, 2018. Kushoto kwa Waziri Mkuu ni Rais wa Makampuni ya CCECC, Bw. Zhao Dianlong na kulia kwa Waziri Mkuu ni Katibu Mkuu wa Chama cha Urafiki kati ya Tanzania na China, Joseph Kahama.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *