Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mkuu Kassim Mjaliwa Mgeni Rasmi Maadhimisho Miaka 100 ya ILO

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA WAZIRI MKUU

KAZI, VIJANA, AJIRA NA WENYE ULEMAVU

TAARIFA KWA UMMA

SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA MIA MOJA YA SHIRIKA LA KAZI DUNIANI (ILO) JIJINI DODOMA

Ofisi ya Waziri Mkuu inapenda kuujulisha Umma wa Wataanzania adana escort adana escort
kuwa kesho tarehe 14 Septemba 2019 Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Kazi Duniani (ILO) tutasherehekea maadhimisho ya miaka 100 ytangu kuanzioshwa kwa shirika la Kazi Dunia

Akizungumzia maadhimisho hayo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenyeulemavu, Jenista Mhagama amesema kuwa katika kushereheka maadhimisho ya miaka 100 ya Shirika la Kazi Duniani Serikali kwa kushirikiana na Shirika hilo itaadhimisha sherehe hiyo kwa kufanya mambo mawili ambayo ni uzinduzi wa programu ya mafunzo ya kukuza ujuzi kwa vijana wapatao 5000 katika Chuo cha Veta Donbosco jijini Dodoma.

Maadhimisho hayo yatahitimishwa kwa zoezi la kupanda miti mia moja katika Mji wa Serikali litakaloongozwa na Mhe. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa ikiwa ni kumbuku ya Shirika hili kutimiza miaka 100 tangu kuanzishwa kwake.

Maadhimisho hayo yanafanyika ikiwa ni miaka 60 tangu shirika hilo lianza kazi Barani Afrika na miaka 57 tokea lianze kufanya kazi nchini Tanzania.

Sisi kama Tanzania tunayo nafasi sasa ya kujitathmini wakati huu tukiwa katika kuadhimisha miaka 100 ya uwepo wa ILO, katika kujitathmini huko Tanzania kama mwanachama imepiga hatua zifuatazo;

 • Tanzania imeridhia mikataba 37 na kutunga sera na sheria zinazoendana na mikataba hiyo.
 • Tumetengeneza miongozo ya masuala mbalimbali yanayohusiana na mahala pakazi ie. Usalama mahala pakazi, Uhuru wa vyama vya wafanyakazi kuwepo mahali pa kazi, na afya na usalama mahali pa kazi
 • Fidia kwa wafanyakazi
 • Utoaji wa huduma ya hifadhi ya jamii

Shirika la Kazi Duniani(ILO) ni taasisi mahususi ya Umoja wa Mataifa inayoshirikiana na nchi wanachama kwa kutoa miongozi kupitia mikataba mbambalimbali kwa lengo la kuboresha mazingira na masuala ya kazi kwa ujumla.

Lengo hasa ni kujenga uchumi kwa nchi wanachama na kuleta maendeleo endelevu kwa jamii

Imetolewa na:

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini

Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenyeulemavu

DODOMA

13/09/2019

6 thoughts on “Waziri Mkuu Kassim Mjaliwa Mgeni Rasmi Maadhimisho Miaka 100 ya ILO

 • October 26, 2020 at 12:52 pm
  Permalink

  What part of do you come from? m4bteam.com reviews The new menu item should appeal to vegetarians and to vegans, who practice a stricter form of vegetarianism that eschews animal products of any kind, including dairy, eggs and honey. Arnold said Chipotle hopes that consumers who are aren’t exclusively veggie eaters but are still looking for healthy options will also give it a try.

  Reply
 • October 26, 2020 at 2:20 pm
  Permalink

  I stay at home and look after the children how much does rogaine cost a month The film is handsomely made, with a nice mix of settings, from the Old Bailey to crowded immigrant neighborhoods. A couple of scenes toward the end do generate the suspense that the whole movie needed. But the impact is too muted, and an air of tired familiarity ultimately curdles the entire enterprise.

  Reply
 • October 27, 2020 at 1:28 am
  Permalink

  I’ll text you later fucidin creme online kaufen Bentonville, Arkansas-based Wal-Mart, the world’s largestretailer, will take over its Indian partner’s 50 percent stakein Bharti Wal-Mart Pvt Ltd, which runs 20 wholesale stores underthe Best Price Modern Wholesale brand.

  Reply
 • October 27, 2020 at 2:09 am
  Permalink

  Not available at the moment renova spa grand bahia principe jamaica The series shifts to Tropicana Field, where Clay Buchholz and the Red Sox will try to close out the Rays on Monday night. Alex Cobb, who beat the Indians in the wild card game this week, starts for Tampa Bay.

  Reply
 • October 27, 2020 at 3:29 am
  Permalink

  Hold the line, please alfacalcidol and calcium carbonate capsules uses J.C. Penney shares rose 4 percent after a sharpslide in premarket trading, after the company said it waspleased with the progress of its turnaround efforts. Thestruggling retailer is looking to raise as much as $1 billion innew equity to build its cash reserves.

  Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama