Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mkuu Kassim Mjaliwa Azindua Mpango wa Taifa Kudhibiti Magonjwa Yasiyoambukizwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipongezana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakati wa uzinduzi wa mpango wa Taifa wa Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa yasiyoambukiza katika Uwanja wa Jamuhuri jijini Dodoma leo Novemba 14/2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizindua mpango wa Taifa wa Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa yasiyoambukiza katika Uwanja wa Jamuhuri jijini Dodoma leo. Novemba 14/2019 . Wengine kutoka kulia, Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dkt. Teguest Mengtsu, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, Waziri mkuu mstaafu wa Tanzania, John Malecela na Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma za Jamii, Peter Serukamba.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwaaga wananchi baada ya kuzindua mpango wa Taifa wa Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa yasiyoambukiza katika Uwanja wa Jamuhuri jijini Dodoma leo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

317 thoughts on “Waziri Mkuu Kassim Mjaliwa Azindua Mpango wa Taifa Kudhibiti Magonjwa Yasiyoambukizwa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama