Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Bungeni Leo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akijibu mwaswali ya Wabunge leo Novemba 14.2019 katika kipindi cha maswali ya Papo kwa papo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Naibu Waziri Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (kushoto) na mbunge wa Viti Maalum, Oliver Semguruka Bungeni jijini Dodoma leo Novemba 14.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

302 thoughts on “Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Bungeni Leo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama