Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Bungeni leo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Joseph Butiku kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Juni 12, 2019

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (UWEKEZAJI), Angela Kairuki (kushoto) akizungumza na Mbunge wa Kuteuliwa, Anne Kilango, Bungeni jijini Dodoma, Juni 12, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Dodoma Mjini na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi Vijana na Ajira, Anthony Mavunde, Bungeni jijini Dodoma Juni 12, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Babati Vijijini, Vrajilal Jituson, Bungeni jijini Dodoma, Juni 12, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Peace House ya jijini Arusha kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 12, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Peace House ya jijini Arusha kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 12, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi na washiriki wa Mashindano ya Miss TANZANITE Dodoma kwenye viwanja vya Bunge , Juni 12, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi na washiriki wa Mashindano ya Miss TANZANITE Dodoma kwenye viwanja vya Bunge , Juni 12, 2019.

PMO 1664 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia Walimu na Maafisa Elimu kutoka jiji la Mbeya kwenye ukumbi wa Msekwa, Bungeni jijini Dodoma Juni 12, 2019. Kulia ni mwenyeji wa walimu hao, Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Walimu na Maafisa Elimu wa jiji la Mbeya pamoja na baadhi ya wabunge kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Juni 12, 2019. Walimu na Maafisa Elimu hao walikwenda Bungeni kwa mwaliko wa Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu (kulia kwa Waziri Mkuu) ili kujifunza.

 

114 thoughts on “Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Bungeni leo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama