Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Bungeni Leo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Mkuchika. Bungeni jijini Dodoma, Novemba 16, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Wabunge, kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira January Makamba, Mbunge wa Kigoma Kusini Hasna Mwilima, kabla ya kuahirisha Mkutano wa Kumi na Tatu wa Bunge jijini Dodoma, Novemba 16, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha Mkutano wa Kumi na Tatu wa Bunge jijini Dodoma, Novemba 16, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


FacebooktwittermailFacebooktwittermail