Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Atembelea Makumbusho ya Mashujaa wa Afrika

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na na mwenyeji wake ambaye ni Mkurugenzi wa Maswala ya Afrika nchini Cuba, Balozi Jose Prieta Cintado wakiangalia Sanamu ya aliyekuwa Raisi wa Msumbiji Hayati Samora Masheli ambayo ipo katika Makumbusho ya Mashujaa wa Afrika yaliopo Havana Cuba jana.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na mke wake Mama Mary Majaliwa wakiweka Shada la Maua katika Makumbusho ya Mashujaa wa Afrika yaliyopo Havana Cuba jana. Katika yao ni Mkurugenzi wa Maswala ya Afrika nchini Cuba, Balozi Jose Prieta Cintado. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

115 thoughts on “Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Atembelea Makumbusho ya Mashujaa wa Afrika

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *