Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Afungua Mkutano SADC wa Masuala ya Tehama, Uchukuzi, Habari na Hali Ya Hewa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe, wakati akiwasili kwenye ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam, kufungua Mkutano wa Mawaziri wa Nchi za SADC wa masuala ya Tehama, Uchukuzi, Habari na Hali ya Hewa.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mfumo wa unaorahisisha mawasiliano kwa vyombo vya usafiri(Traffic Information System – TIMS), kabla ya kufungua Mkutano wa Mawaziri wa Nchi za SADC wa masuala ya Tehama, Uchukuzi, Habari na Hali ya Hewa, uliyofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia gari maalum la mtambo wa usimamizi wa masafa, nje ya ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam, kabla ya kufungua Mkutano wa Mawaziri wa Nchi za SADC wa masuala ya Tehama, Uchukuzi, Habari na Hali ya Hewa. Septemba 19.2019. Kulia ni Mhandisi Mwandamizi, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Victor Kweka.

Mwakilishi wa Katibu Mkuu SADC, Mapalao Makuena, akizungumza kwenye Mkutano wa Mawaziri wa Nchi za SADC wa masuala ya Tehama, Uchukuzi, Habari na Hali ya Hewa.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akihutubia kwenye Mkutano wa Mawaziri wa Nchi za SADC wa masuala ya Tehama, Uchukuzi, Habari na Hali ya Hewa

241 thoughts on “Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Afungua Mkutano SADC wa Masuala ya Tehama, Uchukuzi, Habari na Hali Ya Hewa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama