Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Afungua Maonesho Wiki ya Viwanda Singida

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa na Mkewe, Marry Majaliwa (wapili kulia) akisalimiana na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Stela Manyanya, wakati akiwasili kwenye uwanja wa Bombadia Singinda, kufungua maadhimisho ya Wiki ya Viwanda Kitaifa, Oktoba 6.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikata utepe , kufungua maadhimisho ya Wiki ya Viwanda Kitaifa, kwenye uwanja wa Bombadia mjini Singinda, Oktoba 6.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Meneja wa Kituo cha Kuendeleza Teknolojia (SIDO), Arthur Ndedya, wakati akitembelea banda la SIDO, katika ufunguzi wa maadhimisho ya Wiki ya Viwanda Kitaifa, yaliyofanyika kwenye uwanja wa Bombadia mjini Singinda, Oktoba 6.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa na Mkewe, Marry Majaliwa (kulia) akifafanuliwa jambo na Afisa Masoko Mwandamizi wa TBS, Gladness Kaseka, wakati alipotembelea mabanda, katika ufunguzi wa maadhimisho ya Wiki ya Viwanda Kitaifa, yaliyofanyika kwenye uwanja wa Bombadia mjini Singinda, Oktoba 6.2019. Kushoto ni Afisa Mkaguzi TBS, Domisiano Rutahala.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mbegu ya kisasa ya alizeti, kwenye banda la Chama cha Wasindikaji Mafuta wa Mkoa wa Singida (SISUPA), wakati alipotembelea mabanda, katika ufunguzi wa maadhimisho ya Wiki ya Viwanda Kitaifa, yaliyofanyika kwenye uwanja wa Bombadia mjini Singinda, Oktoba 6.2019. Anayetoa ufafanuzi (katikati) ni Mwenyekiti wa Wasindikaji hao, Juma Mene.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia viatu, vinavotengenezwa SIDO, wakati akitembelea mabanda katika ufunguzi wa maadhimisho ya Wiki ya Viwanda Kitaifa, yaliyofanyika kwenye uwanja wa Bombadia mjini Singinda, Oktoba 6.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia viatu, vinavotengenezwa SIDO, wakati akitembelea mabanda katika ufunguzi wa maadhimisho ya Wiki ya Viwanda Kitaifa, yaliyofanyika kwenye uwanja wa Bombadia mjini Singinda, Oktoba 6.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Meneja wa Kituo cha Kuendeleza Teknolojia (SIDO), Arthur Ndedya, wakati akitembelea banda la SIDO, katika ufunguzi wa maadhimisho ya Wiki ya Viwanda Kitaifa, yaliyofanyika kwenye uwanja wa Bombadia mjini Singinda, Oktoba 6.2019.

196 thoughts on “Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Afungua Maonesho Wiki ya Viwanda Singida

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama