Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mkuu Bungeni Leo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Rukia Ahmed Kassim, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 14, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Risala Kabongo, kwenye jengo la Utawala la Bunge jijini Dodoma, Mei 14, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kisalimiana na Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule kwenye Jengo la Utawala la Bunge jijini Dodoma, Mei 14, 2019. Wengine pichani ni wastaafu wa Kiwanda cha Sukari cha Kilombero, Gibson Kachingwe (wapili kushoto), Philemon Nyalusai (katikati) na David Mhosole.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Igunga, Dkt.. Dalaly Peter Kafumu, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 14, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Mwita Waitara, Bungeni jijini Dodoma, Mei 14, 2019.

136 thoughts on “Waziri Mkuu Bungeni Leo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama