Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mkuu Azungumza na Wakuu wa Mikoa kuhusu kupanda kwa bei ya Saruji


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakuu wa Mikoa  kwenye kikao alichokiendesha kwa njia ya  video kilichohusu tatizo la kupanda kwa bei ya saruji nchini.  Alikuwa  ofisini kwake, Mlimwa jijini Dodoma, Novemba 21, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

2 thoughts on “Waziri Mkuu Azungumza na Wakuu wa Mikoa kuhusu kupanda kwa bei ya Saruji

  • November 22, 2020 at 6:10 pm
    Permalink

    Kufuatia hayo, Waziri Mkuu Majaliwa ameagiza Mamlaka ya Mawasiliano nchini Tanzania (TCRA) na wakuu wa mikoa kufuatilia hali hizi na kuwawajibisha wale wote watakaobainika kuhusika ama katika kupotosha jamii kuhusu Corona au kupandisha bidhaa zinazohusiana na Corona

    Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *