Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mkuu Azindua Mkakati wa Kupambana na Unyanyapaa wa VVU Nchini

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa dini wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Msekwa jijini Dodoma, Machi 10, 2020 kuzindua Kampeni ya Kitaifa ya Viongozi wa Dini na Bunge katika kuongeza jitihada za kupunguza unyanyapaa dhidi ya Ukimwi. Kushoto ni Spika wa Bunge, Job Ndugai, wa tatu kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama,Watano kushoto ni Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai na wa sita kushoto ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Kampeni ya Kitaifa ya Viongozi wa Dini na Bunge katika kuongeza jitihada za kupunguza unyanyapaa dhidi ya Ukimwi kwenye ukumbi wa Msekwa jijini Dodoma, Machi 10, 2020.

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inatambua nguvu kubwa waliyonayo viongozi wa dini katika jamii na itaendelea kutoa ushirikiano wa dhati katika kuyatekeleza na hatimaye kufikia malengo yanayotarajiwa katika mwitikio wa UKIMWI Tanzania. 

“Serikali inaunga mkono tamko na maazimio mliyoyafikia leo hii na itaendelea kutoa ushirikiano wa dhati katika kuyatekeleza na kufikia malengo yanayotarajiwa katika mwitikio wa UKIMWI Tanzania. Sote tunatambua nafasi na nguvu mlizonazo viongozi wetu wa dini katika jamii,” amesema.  

Ametoa kauli hiyo leo (Jumanne, Machi 10, 2020) kwenye ukumbi wa Msekwa, Bungeni jijini Dodoma wakati akizungumza na viongozi wa dini, wabunge, na wadau mbalimbali wa mashirika ya WAVIU kwenye uzinduzi wa kampeni ya kushirikisha viongozi wa dini kutokomeza unyanyapaa ili kufikia malengo ya kitaifa ya mwitikio wa UKIMWI nchini.

Kampeni hiyo inayoitwa “Hebu Tuyajenge, Tufikie 95-95-95: Tanzania bila Unyanyapaa Inawezekana, Viongozi wa Dini Tuongozee njia” inalenga kuhamasisha umma wa Watanzania waungane kutokomeza unyanyapaa dhidi ya VVU na UKIMWI Tanzania.

 

Akizungumza na viongozi hao, Waziri Mkuu amesema ana imani kubwa watalisimamia vizuri suala la unyanyapaa na ukatili wa kijinsia kwa kuwa jamii inawasikiliza, inawaheshimu na kuwaamini sana wao kuliko inavyowasikiliza wanasiasa au hata wanavyosikiliza na kuamini vyombo vya habari.

“Tambueni kwamba mnayo kazi kubwa ya kufanya katika kuhakikisha unyanyapaa na ukatili wa kijinsia unakwisha kabisa katika jamii yetu. Niendelee kuwaomba viongozi wetu wa dini kupitia ibada katika madhehebu yenu, vyombo vyenu vya habari, jumuiya, makongamano mbalimbali, taasisi zenu za elimu na afya, tuhakikishe tunatoa ujumbe wa kutia hamasa, elimu na upendo ili hatimaye wanaume, vijana na watoto wengi wazifikie huduma za VVU sambamba na kutambua haki na usalama wa mtoto.”

Amesema Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, itaendelea kutekeleza na kuboresha huduma za za afya ikiwa ni pamoja upimaji wa Virusi Vya UKIMWI, matibabu ya magonjwa nyemelezi pamoja na kupiga vita unyanyapaa wa aina zote kwa WAVIU.

Amesema Tanzania inaungana na nchi nyingine duniani zinazoamini katika kutokomeza unyanyapaa na ubaguzi wa aina zote lengo likiwa ni kutokomeza ubaguzi uwe wa kiitikadi au kijamii. “Kwa pamoja tuungane kukemea vitendo vya unyanyapaa na ubaguzi kutokana na madhara makubwa kwa watu wetu na Taifa kwa ujumla wake.”

Amesema licha ya dini zote kukemea ubaguzi na unyanyapaa, bado unyanyapaa, ukatili wa kijinsia hasa kwa watoto vimeshamiri katika jamii. “Watu wanaoishi na Virusi vya UKIMWI (WAVIU), hukumbwa na kadhia ya unyanyapaa katika jamii zetu. Kadhalika, watoto wa umri mdogo nao wanatendewa ukatili mkubwa sana kama vile kunajisiwa na kutelekezwa,” amesema.  

“Vitendo vya namna hii hudhoofisha jitihada za kutokomeza maambukizi ya VVU kwani huwafanya watu kuogopa kujitokeza kupima VVU. Mtu huhofia kwamba ikijulikana ana maambukizi atabaguliwa na hivyo, kuishi maisha ya mateso yatokanayo na msongo wa mawazo na aibu ya kunyanyapaliwa.”  

Katika kongamano hilo la siku moja, Mhashamu Askofu Gervas Nyaisonga wa Jimbo Katoliki Mbeya na Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC); Askofu Mark Walwa Malekana wa Kanisa la Waadventista wa Sabato (SDA); Askofu Alinikisa Cheyo wa Kanisa la Morovian na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo (CCT); Askofu Peter Konki wa Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (CPCT) na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zuberi (BAKWATA) walitoa ahadi zao za kuunga mkono kampeni hiyo kupinga unyanyapaa kwa kutumia ibada na taasisi zilizo chini yao na kisha kutia saini Tamko Rasmi la Viongozi wa Juu wa Taasisi za Dini kuhusu ushiriki wao katika mwitikio wa UKIMWI nchini.

Mapema, kongamano hilo lilipokea shuhuda kutoka kwa Mchungaji Prof. Gideon Byamugisha (61) wa kutoka Uganda, Mbunge kutoka Zambia wa chama cha United Party for National Development (UPND), Bi. Princess Kasune (45) na Bi. Pundensiana Mbwiliza (25), mfanyabishara ya mikoba ya vitenge kutoka Mwanza, Tanzania ambao wameishi na VVU kwa kati ya miaka 10 – 25 na wamekuwa mstari wa mbele kuvunja ukimya kuhusu hali zao na kupiga vita unyanyapaa.

Naye Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muunguno wa Tanzania, Mhe.  Job Ndugai alisema uamuzi wa kujuisha viongozi wa dini kwenye masuala ya kitaifa ulianza mwaka jana jijini Mwanza ambako waliowaomba viongozi wa dini wawasidie kuihamasisha jamii kuhusu tatizo la ugonjwa wa kifua kikuu.

“Tuliona kuwa kuweka msisitizo kwenye Kifua Kikuu peke yake haitoshi; tukaona ni vema tushirikiane nao tena ili watusaidie kusukuma uelewa miongoni mwa jamii kuhusiana na suala hili la VVU,” alisema. 

IMETOLEWA NA:

OFISI YA WAZIRI MKUU,

S. L. P. 980,

41193 – DODOMA

JUMANNE, MACHI 10, 2020.

52 thoughts on “Waziri Mkuu Azindua Mkakati wa Kupambana na Unyanyapaa wa VVU Nchini

 • August 11, 2020 at 5:33 am
  Permalink

  Hi colleagues, how is all, and what you want to say concerning this article, in my view its actually awesome for me.

  Reply
 • August 11, 2020 at 6:56 am
  Permalink

  Hola! I’ve been reading your web site for a while now
  and finally got the courage to go ahead and give you a shout out
  from Houston Tx! Just wanted to tell you keep up the great work!
  adreamoftrains web hosting services

  Reply
 • August 24, 2020 at 8:30 pm
  Permalink

  I think the admin of this web site is actually working hard for his web site, as here every data
  is quality based material. cheap flights 3aN8IMa

  Reply
 • August 24, 2020 at 10:14 pm
  Permalink

  It’s impressive that you are getting ideas from this piece of writing as well as
  from our argument made at this place. cheap flights 31muvXS

  Reply
 • August 25, 2020 at 9:32 am
  Permalink

  Nice blog here! Also your website loads up fast!
  What host are you using? Can I get your affiliate link to your host?

  I wish my web site loaded up as fast as yours lol cheap flights 3gqLYTc

  Reply
 • August 25, 2020 at 10:02 pm
  Permalink

  It is appropriate time to make a few plans for the longer term and
  it is time to be happy. I have read this publish and if I could I desire to recommend
  you some fascinating things or tips. Maybe you can write next articles referring to this article.
  I wish to read more issues approximately it! 31muvXS cheap flights

  Reply
 • August 31, 2020 at 9:28 pm
  Permalink

  Hi there it’s me, I am also visiting this web page on a regular basis,
  this web site is really nice and the users are actually sharing fastidious thoughts.

  Reply
 • October 25, 2020 at 12:14 pm
  Permalink

  eastern cooperative talented to patients take to severe Coronary Vascular. cialis cialis oneself of upon another proverbial generic cialis 5mg online 5.

  Reply
 • October 26, 2020 at 2:46 pm
  Permalink

  I’d like to order some foreign currency cursos de preparacion toefl bogota HONG KONG (AP) — Asian stocks drifted today, with markets in China edging slightly higher as investors stayed cautious ahead of a major holiday and details from the highly anticipated unveiling of a free trade zone in Shanghai. Stocks in Tokyo slid after Japan’s inflation spiked.

  Reply
 • October 26, 2020 at 10:10 pm
  Permalink

  Insufficient funds beet root powder walgreens If they don’t have to raise more capital, the banks could bea very attractive proposition; if they do, investors could facetheir stakes being wiped out, said Florent Nitu, an analyst whocovers Greek banks for Citi.

  Reply
 • October 27, 2020 at 4:33 am
  Permalink

  A few months zyrtec vs claritin for hives
  As the weather warms both human and animals alike start to venture outdoors. You’ve been kept inside for months now and it’s finally time to get out and get active. From the park to the pier, get up and get going with your dog and enjoy the benefits of burning energy and stress.

  Reply
 • October 27, 2020 at 6:38 am
  Permalink

  I’m doing a phd in chemistry para que es el ampicillin 500 mg Air Force One touched down at Kennedy Airport at about 12:30 p.m. on Monday, and then the President darted off to a Civil Society roundtable discussion at the New York Hilton Hotel on Sixth Ave. in midtown.

  Reply
 • October 27, 2020 at 9:29 am
  Permalink

  How much is a Second Class stamp? tribulus terrestris extract usp monograph That’s a stark contrast from the timetable presented by Bernanke last month, when he said the Fed would begin pulling back on its $85 billion in monthly bond purchases later this year, and wind down the program entirely by mid-2014, as long as the economy improves in line with its expectations.

  Reply
 • January 7, 2021 at 11:36 am
  Permalink

  Nice post. I learn something totally new and challenging on blogs I stumbleupon on a daily basis. It’s always exciting to read through articles from other writers and use a little something from their websites. |

  Reply
 • January 17, 2021 at 9:57 pm
  Permalink

  Hi there would you mind letting me know which webhost you’re using? I’ve loaded your blog in 3 different internet browsers and I must say this blog loads a lot quicker then most. Can you recommend a good hosting provider at a honest price? Thank you, I appreciate it!|

  Reply
 • January 19, 2021 at 4:27 pm
  Permalink

  Thank you for sharing your thoughts. I really appreciate your efforts and I am waiting for your next write ups thanks once again.|

  Reply
 • March 22, 2021 at 6:40 am
  Permalink

  I do accept as true with all of the concepts you have introduced for your post. They are really convincing and will definitely work. Still, the posts are too brief for novices. May just you please lengthen them a little from subsequent time? Thanks for the post.|

  Reply
 • March 25, 2021 at 10:18 am
  Permalink

  I think the admin of this site is truly working hard in support of his website, since here every data is quality based stuff.|

  Reply
 • March 28, 2021 at 2:23 am
  Permalink

  whoah this weblog is magnificent i love reading your posts. Stay up the great work! You recognize, lots of people are looking around for this info, you can aid them greatly. |

  Reply
 • March 28, 2021 at 9:40 am
  Permalink

  What’s up colleagues, how is all, and what you wish for to say regarding this post, in my view its
  genuinely amazing in support of me.

  Reply
 • March 28, 2021 at 10:27 am
  Permalink

  This paragraph will assist the internet people
  for setting up new webpage or even a weblog from start to end.

  Reply
 • May 8, 2021 at 8:39 pm
  Permalink

  Hey there, You have done a fantastic job. I’ll definitely digg it and personally recommend to my friends.
  I’m sure they will be benefited from this web site.

  Reply
 • May 9, 2021 at 7:05 am
  Permalink

  Howdy I am so excited I found your webpage, I really found you by mistake, while I was researching on Digg for
  something else, Regardless I am here now and would just like to say many thanks for a
  remarkable post and a all round interesting
  blog (I also love the theme/design), I don’t have time to read through it all at the minute but
  I have bookmarked it and also added in your RSS feeds, so when I have time I will be
  back to read more, Please do keep up the awesome
  b.

  Reply
 • May 9, 2021 at 11:58 am
  Permalink

  This post offers clear idea for the new users of blogging,
  that genuinely how to do blogging.

  Reply
 • May 9, 2021 at 1:32 pm
  Permalink

  I am extremely inspired along with your writing skills and also with the format
  on your weblog. Is this a paid subject or did you customize it yourself?

  Anyway keep up the nice high quality writing, it is uncommon to look a nice blog like this
  one today..

  Reply
 • May 9, 2021 at 2:33 pm
  Permalink

  Have you ever considered about adding a little bit more than just your articles?
  I mean, what you say is important and everything.
  However imagine if you added some great graphics or videos to give
  your posts more, “pop”! Your content is excellent but with
  images and videos, this site could certainly be one of the most beneficial in its field.
  Fantastic blog!

  Reply
 • May 9, 2021 at 3:17 pm
  Permalink

  Hey there, I think your blog might be having browser compatibility issues.
  When I look at your blog in Ie, it looks fine but when opening in Internet Explorer,
  it has some overlapping. I just wanted to give you a quick heads up!
  Other then that, great blog!

  Reply
 • May 10, 2021 at 8:49 am
  Permalink

  fantastic put up, very informative. I wonder why the opposite specialists of
  this sector don’t notice this. You should continue your writing.
  I am sure, you have a huge readers’ base already!

  Reply
 • May 10, 2021 at 8:49 am
  Permalink

  It’s a pity you don’t have a donate button! I’d most certainly donate to this fantastic
  blog! I guess for now i’ll settle for bookmarking and adding
  your RSS feed to my Google account. I look forward to brand
  new updates and will share this site with my Facebook group.
  Chat soon!

  Reply
 • May 11, 2021 at 5:24 am
  Permalink

  If you are going for most excellent contents like me, only go to see this website every day because it gives feature contents, thanks

  Reply
 • May 11, 2021 at 6:13 am
  Permalink

  It’s an amazing article in support of all the online
  visitors; they will take advantage from it I am sure.

  Reply
 • May 11, 2021 at 7:12 pm
  Permalink

  I believe this is one of the most significant info for me.
  And i’m satisfied studying your article. However wanna commentary on few common issues, The website style is ideal, the articles is actually nice :
  D. Good activity, cheers

  Reply
 • May 11, 2021 at 8:47 pm
  Permalink

  I really like your blog.. very nice colors & theme.
  Did you design this website yourself or did
  you hire someone to do it for you? Plz reply as I’m looking to construct my own blog and would
  like to find out where u got this from. appreciate
  it

  Reply
 • May 12, 2021 at 7:09 am
  Permalink

  Hello my friend! I wish to say that this article is awesome, nice written and come with almost all important infos. I’d like to look more posts like this .|

  Reply
 • May 12, 2021 at 8:33 am
  Permalink

  I am now not certain the place you are getting your information, but great topic.
  I needs to spend some time learning more or understanding more.
  Thanks for excellent info I used to be on the lookout for this information for my
  mission.

  Reply
 • May 13, 2021 at 2:47 pm
  Permalink

  When I originally commented I clicked the “Notify me when new comments are added” checkbox
  and now each time a comment is added I get several e-mails
  with the same comment. Is there any way you can remove people from that service?
  Thanks!

  Reply
 • May 14, 2021 at 5:41 pm
  Permalink

  This post will assist the internet users for setting up new web site or even a blog from start to end.|

  Reply
 • May 15, 2021 at 6:26 am
  Permalink

  May I just say what a relief to discover a person that genuinely knows what they’re discussing online. You definitely understand how to bring an issue to light and make it important. More and more people ought to read this and understand this side of the story. I can’t believe you aren’t more popular because you certainly possess the gift.|

  Reply
 • May 15, 2021 at 3:40 pm
  Permalink

  Its such as you learn my thoughts! You seem to understand
  a lot about this, like you wrote the book in it or something.

  I feel that you just could do with a few percent to drive
  the message home a bit, however instead of that, this is excellent blog.
  An excellent read. I’ll certainly be back.

  Reply
 • May 18, 2021 at 12:48 pm
  Permalink

  Why visitors still use to read news papers when in this
  technological globe everything is accessible
  on net?

  Reply
 • May 19, 2021 at 7:37 am
  Permalink

  Hi, constantly i used to check webpage posts here in the early hours in the daylight, because i like to learn more and more.|

  Reply
 • May 19, 2021 at 10:23 am
  Permalink

  Heya i’m for the primary time here. I came across this board and I in finding It truly useful & it
  helped me out a lot. I am hoping to give something again and aid others such as you helped me.

  Reply
 • May 20, 2021 at 4:38 am
  Permalink

  I know this site presents quality depending content and other data, is there
  any other site which gives such things in quality?

  Reply
 • May 21, 2021 at 5:39 am
  Permalink

  I used to be suggested this website through my cousin. I am not positive whether or not this put up is written by him as
  nobody else recognize such targeted approximately my difficulty.

  You’re wonderful! Thank you!

  Reply
 • May 21, 2021 at 6:14 am
  Permalink

  Hiya very cool web site!! Guy .. Beautiful .. Wonderful .. I will bookmark your blog and take the feeds also? I’m happy to find numerous useful info right here within the publish, we want develop extra strategies in this regard, thanks for sharing. . . . . .|

  Reply
 • May 22, 2021 at 9:04 pm
  Permalink

  Write more, thats all I have to say. Literally, it seems as though you relied on the video to make your point. You clearly know what youre talking about, why waste your intelligence on just posting videos to your weblog when you could be giving us something informative to read?|

  Reply
 • May 23, 2021 at 6:33 am
  Permalink

  Hi would you mind stating which blog platform you’re working with?

  I’m going to start my own blog soon but I’m having a hard time
  making a decision between BlogEngine/Wordpress/B2evolution and Drupal.

  The reason I ask is because your design and style seems different then most blogs and I’m looking for something completely unique.
  P.S My apologies for getting off-topic but I
  had to ask!

  Reply
 • June 2, 2021 at 1:45 am
  Permalink

  My partner and I stumbled over here coming from a different website and thought I might check things out. I like what I see so now i’m following you. Look forward to looking into your web page again.|

  Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama