
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, akizungumza na Wabunge, baada ya uzinduzi wa mfumo wa uendeshaji Bunge kidigitali, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 12.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa na Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai (kulia) wakiangalia mfumo wa uendeshaji Bunge kidigitali, baada ya kuzinduliwa, katika ukumbi wa Msekwa, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 12.2019.