Na: OWM
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameutaka uongozi wa mkoa wa Ruvuma uendelee kutangaza fursa za uwekezaji zilizopo na kuondoa vikwazo vyote ili kuvutia wawekezaji zaidi.
“Mkoa wa Ruvuma kama ilivyo mikoa mingine, unazo fursa ambazo zikiendelezwa, zitaleta tija na kusaidia kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi wa Taifa letu. Nitoe rai kwa mkoa uendelee kutangaza fursa za uwekezaji zilizopo sambamba na kuondoa vikwazo vyovyote vya uwekezaji na biashara ili kuvutia zaidi wawekezaji wa ndani na nje,” amesema.
Ametoa wito huo leo mchana (Alhamisi, Julai 25, 2019) wakati akifungua Kongamano la Biashara na Uwekezaji mkoani Ruvuma linaloendelea kwenye uwanja wa Majimaji, Manispaa ya Songea. Pia amezindua Mwongozo wa Uwekezaji wa mkoa huo.
Amesema katika ustawi wa uchumi, nchi nyingi hapa duniani zimeweza kukuza uchumi wao kupitia ujenzi wa viwanda na zikafanikiwa kupunguza umasikini katika jamii zao. Amezitaja nchi hizo kuwa ni Marekani, China, Japani, Korea ya Kusini na Ujerumani.
“Tunapaswa kuiga kutoka wa wenzetu. Ndiyo maana Tanzania pia tunahamasisha ujenzi wa viwanda kuanzia ngazi ya vijiji mpaka mikoa ili tulete mageuzi ya kiuchumi yatakayowezesha upatikanaji wa ajira na hatimaye kuondoa umaskini,” amesema Waziri Mkuu na kuongeza:
“Kongamano hili ambalo kaulimbiu yake ni “Ruvuma itavuma kwa uchumi wa viwanda, wekeza sasa,” imelenga kutangaza fursa za uwekezaji na biashara zilizopo mkoani humu, na inajipambanua vema na kuendana na azma ya Serikali ya awamu ya tano ya kujenga uchumi wa kati unaoongozwa na viwanda ifikapo 2025.”
Amesema mchango wa sekta ya viwanda kiuchumi na kijamii nchini ni pamoja na kuongeza pato la Taifa na kupandisha hali ya maisha ya wananchi; kusaidia nchi isiyumbe kiuchumi ikizingatiwa kuwa viwanda vingi havitegemei hali ya hewa kama kilimo; kuboresha urari wa biashara (improve balance of trade) kwa sababu tija yake ni kubwa na hasa zikiuzwa bidhaa nyingi nje ya nchi na kupunguza uagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi.
Amezitaja faida nyingine kuwa ni kuchangia maendeleo ya sekta nyingine kama za kilimo, uvuvi, elimu na madini; kutengeneza ajira kwa wananchi; kuchagiza na kuharakisha maendeleo ya teknolojia na rasilimali watu na kuwezesha matumizi mazuri ya maliasili zilizopo kwa faida zaidi.
Nyingine ni kuleta uhakika wa soko la mazao ya kilimo, mifugo, uvuvi, misitu na madini kwa sababu hutumika kama malighafi na kuwepo kwa uhakika wa kuingiza fedha za kigeni nchini kupitia mauzo ya bidhaa nje ambapo husaidia kuagiza mitambo, malighafi na bidhaa nyingine ambazo hazizalishwi nchini.
Mapema, akitoa salamu kwa niaba mabalozi wengine, Mwakilishi wa Balozi wa China, Bw. Xian Ding alisema ana uhakika kuwa kongamano hilo litafanikiwa kuleta mabadiliko mkoani humo kwa sababu wana bidii ya kazi.
“Ninaahidi kuleta wawekezaji kutoka China kwa sababu tunataka waje kuleta teknolojia mpya, wafanye kazi pamoja na Watanzania na wawafundishe teknolojia hizo mpya. Tunataka hapa Ruvuma iwe model (mfano) kwa mikoa mingine,” alisema.
Akielezea kwa kifupi kuhusu mwongozo uliozinduliwa na Waziri Mkuu, mtafiti kutoka Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Kijamii (ESRF), Dkt. Hoseana Lunogelo alisema walitumia mfumo shirikishi ili kupata mwongozo unahusisha wawekezaji wa ndani.
“Mwongozo huu umezingatia Dira ya Taifa ya 2025 katika kutimiza azma ya Serikali ya kuwa nchi ya uchumi na viwanda, tumeshirikisha wananchi wa mkoa wa Ruvuma ili wasibakie kuwa watazamaji,” alisema.
Pingback: generic for cialis
Pingback: Buy pfizer viagra
Pingback: cialis without a doctor prescription
Pingback: erectile dysfunction medicines
Pingback: best ed medication
Pingback: buy erection pills
Pingback: cialis 20 mg
Pingback: cvs pharmacy
Pingback: best real casino online
Pingback: hollywood casino online
Pingback: online viagra prescription
Pingback: free slots online
Pingback: san manuel casino online
Pingback: loan online
Pingback: personal loans
Pingback: personal loans
Pingback: viagra for sale
Pingback: cialis 5 mg
Pingback: winston cowan
Pingback: cialis internet
Pingback: 20 cialis
Pingback: cialis buy
Pingback: LuckyCreek
Pingback: generic cialis
Pingback: pokies online
Pingback: slot games
Pingback: real money casino online
Pingback: online casino usa
Pingback: non prescription viagra
Pingback: cialis coupon
buy cialis http://lm360.us/
hello!,I like your writing very so much! proportion we keep up a correspondence extra approximately your post on AOL?
I need an expert in this area to solve my problem. Maybe that is you!
Taking a look forward to look you.
Also visit my web site: https://internetcasinodude.com/
You’ve made about thoroughly points on that point. I checkered on the WWW for additional data all but the
topic and establish to the highest degree individuals leave go along with
your views on this entanglement place. http://www.stdstory.com/
Greetings, I think your web site may be having browser compatibility problems.
When I look at your website in Safari, it looks fine but
when opening in IE, it has some overlapping issues.
I just wanted to provide you with a quick heads up!
Other than that, wonderful website! https://azhydroxychloroquine.com/
You are so awesome! I do not think I’ve read through anything like this
before. So good to discover another person with a few
original thoughts on this subject. Really.. thank you for
starting this up. This site is something that is needed
on the web, someone with some originality! https://www.wisig.org/
Hi there, just became alert to your blog through Google, and found that it’s really
informative. I’m gonna watch out for brussels. I’ll be grateful if you continue
this in future. Lots of people will be benefited from your writing.
Cheers! https://buszcentrum.com/
Pingback: cialis 20mg
cephalexin 250 mg for humans https://keflex.webbfenix.com/