Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mkuu Akagua Maendeleo ya Ujenzi wa Jengo la NEC Lililopo Dodoma.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la Ofisi ya Tume ya Uchaguzi (NEC), Njedengwa, jijini Dodoma, Dodoma, Mei 5, 2020.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Wenye  Ulemavu, Jenista Mhagama, wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Tume ya Uchaguzi (NEC), lililopo Njedengwa, jijini Dodomalinalojengwa na Kampuni ya Ujenzi ya SUMA JKT,

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Msimamizi na Meneja Mradi, Godwin Maro, wakati alipoenda kukagua ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Tume ya Uchaguzi (NEC), iliyopo Njedengwa, jijini Dodoma Mei 5, 2020.

8 thoughts on “Waziri Mkuu Akagua Maendeleo ya Ujenzi wa Jengo la NEC Lililopo Dodoma.

 • September 28, 2020 at 5:51 pm
  Permalink

  3NFnkI uvb treatment What are the laws on republishing newspaper articles in a book? Are there copyright issues?

  Reply
 • October 27, 2020 at 12:35 am
  Permalink

  Wow! Thank you! I continuously wanted to write on my website something like that. Can I implement a portion of your post to my site?

  Reply
 • January 17, 2021 at 8:17 pm
  Permalink

  Hi! Do you know if they make any plugins to help with Search Engine Optimization? I’m trying to get my blog to rank for some targeted keywords but I’m not seeing very good gains. If you know of any please share. Kudos!|

  Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *