
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wajumbe wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), ofisini kwake Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 11, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Dkt. Sophia Kongela, orodha ya majina ya taasisi na watu binafsi ambao ni wadaiwa sugu wa NHC katika mazungumzo na wajumbe wa Bodi ya NHC yaliyofanyika ofisini kwa Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 11, 2020.
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameuagiza uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) uwaandikie barua wapangaji wote wanaodaiwa kodi na shirika hilo na wahakikishe zimelipwa ifikapo Mei 30, mwaka huu.
“Orodha ya wadaiwa niliyonayo hapa ni kubwa na wengine inaonesha wamehama na wameondoka bila kumalizia kodi zao. Hawa wote ni lazima tuwafuatilie na walipe madeni yao,” amesema.
Ametoa agizo hilo leo (Jumanne, Februari 11, 2020) wakati akizungumza na viongozi na wajumbe wa Bodi ya shirika hilo kwenye kikao kilichofanyika ofisini kwake, Magogoni, jijini Dar es Salaam.
“Taasisi zote za Serikali ambazo zimepanga kwenye nyumba za shirika ni lazima zilipe madeni. Chombo chochote cha Serikali kinaishi na bajeti, kwa hiyo hata kama wamejenga ya kwao, walipaswa walipe kabla hajahama.”

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa ameshika bahasha yenye orodha ya majina ya wadaiwa sugu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya NHC, Dkt. Sophia Kongela katika mazungumzo kati yake na Bodi ya NHC yaliyofanyika ofisini kwa Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 11, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) baada ya kuzungumza nao ofisini kwake , Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 11, 2020. Kutoka kushoto ni Charles Singili, Humphrey Polepole, Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Dkt Sophia Kongela, Makamu Mwenyekiti, Martin Madekwe, Sauda Msemo na kulia ni Abdallah Shamte.
“Waandikieni barua wadaiwa wote ili walipe. Tunaelekea mwishoni mwa bajeti ya mwaka huu, na hawa wote wawe wamelipa ifikapo tarehe 30 Mei, 2020. Nami nipate orodha ya taasisi za Serikali zinazodaiwa ili niwafuatilie; nitawaita Makatibu Wakuu wao mmojammoja. Hao wadaiwa binafsi wachukulieni hatua stahiki,” amesisitiza.
Waziri Mkuu amesema madeni ambayo taasisi za Serikali zinadaiwa yanafikia sh. bilioni 4.3 na kama zitalipwa zote hizo, zitalisaidia shirika kuendelea na mpango wake wa ujenzi wa nyumba nafuu kwenye maeneo mbalimbali.
Wakati huohuo, Waziri Mkuu amelitaka shirika hilo lijielekeze kwenye ujenzi wa nyumba bora na za bei nafuu kwa sababu mahitaji ya nyumba nchini bado ni makubwa. “Simamieni suala hili, ili tupate nyumba nzuri na za bei nafuu. Simamieni wataalamu wenu ili wasikadirie miradi ambayo bei zake zitakuwa juu sana na kisha wananchi wetu washindwe kumudu. Ni lazima mhakikishe kuwa wananchi wa kipato cha chini wananufaika na uwepo wa shirika,” amesema.
Amesema wataalamu hao wanahitaji kudhibitiwa kwa sababu sehemu kubwa ya malighafi inapatikana hapa nchini. “Hivi sasa kokoto, nondo, mabati na vifaa vingi vya ujenzi vinazalishwa hapa nchini, siyo kama zamani. Iweje bei ya kuuza nyumba inakuwa ya kutisha?” alihoji.
Pia Waziri Mkuu aliwataka viongozi hao waimarishe ukusanyaji wa mapato ya shirika hilo kwa kuhakikisha kodi zinakusanywa kwa njia ya kielektroniki. “Tuache tabia ya kuruhusu maafisa kwenda nyumba kwa nyumba na kudai shilingi 500,000 kwa risiti za kuandika. Tumieni control number, ili mwananchi aweze kulipia kwa simu au benki na hela inaingia moja kwa moja katika shirika,” amesema.
Mapema, akitoa taarifa ya shirika hilo mbele ya Waziri Mkuu, Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Dk. Sophia Kongele alisema shirika hilo linawadai wapangaji waliohama na waliopo ambao wengi wao ni wizara na taasisi za Serikali na akaomba wahimizwe kulipa ili wao waweze kuendesha shirika kwa ufanisi.
“Kwa wapangaji waliohama bila kulipa, shirika linadai shilingi bilioni 4.353 na kwa wapangaji waliopo wanadaiwa kiasi cha shilingi bilioni 1.286, na hivyo kufanya deni lote lifikie shilingi bilioni 5.641.”
Alisema shirika hilo limekuwa likiendesha miradi ya ndani na ya nje ikiwemo kutekeleza miradi ya ujenzi ya taasisi nyingine kama mkandarasi na mshauri. “Shirika limefanikiwa kumaliza miradi 16 ya ukandarasi yenye thamani ya shilingi bilioni 16.8 na linaendelea na ujenzi wa miradi 10 ya ukadarasi yenye thamani ya shilingi bilioni 69.4,” alisema.
Alisema wanaendelea kutafuta fedha kwa ajili ya ujenzi wa miradi mikubwa ya Morocco Square, Seven Eleven (Kawe), Golden Premier Residence (Kawe) na Regent Estate ambayo kwa sasa imesimama kutokana na ukosefiu wa fedha.
Pingback: Buy no rx viagra
Pingback: cialis generic
Pingback: goodrx cialis
Pingback: US viagra sales
Pingback: is there a generic for cialis
Pingback: top rated ed pills
Pingback: best ed pills
Pingback: best ed pills non prescription
Pingback: canadian online pharmacy
Pingback: levitra pills
Pingback: ocean casino online
Pingback: caesars casino online
Pingback: generic viagra
Pingback: casinos
Pingback: online casino
Pingback: cash payday
Pingback: no credit check loans
Pingback: top australian online casinos
Pingback: generic for cialis
Pingback: cialis 5 mg
Pingback: Casinos 2020
Pingback: latrice
Pingback: casino games online
Pingback: online slots
Pingback: casino online games
https://mypharmexe.com/ cialis vs viagra
cialis prescription http://sjcialis.com/ cialis reviews
viagra spam http://ajviagra.com/ viagra price
cialis 20 mg generic tadalafil tadalafil citrate
buy cialis without prescription http://jacialis.com/ cialis tadalafil
cialis without a prescription buy cheap cialis online cialis
cheap tadalafil http://jocialisrl.com/ order cialis
buy essays community service essay sample custom college essays
buy essays online http://essaywritingservicefav.com/ scholarship essay writing service
doctoral thesis thesis consulting help with thesis statement
buy cheap essays online http://buyessayhelpvwe.com/ best writing services
custom essay company order custom essay custom my essay
custom research papers writing service http://researchpapersgaa.com/ help with writing a research paper
writing dissertation service http://dissertationhelpxvf.com/ dissertation editors
paper writers http://writemypaperbuyxvv.com/ paper writing help
Pingback: tadalafil 10mg
cialis generic name viagra vs cialis can you take cialis in the morning and viagra at night
natural viagra alternatives viagra cheapest viagra without prescription
generic viagra sildenafil buy viagra new york how to use viagra
viagra generic herbal viagra viagra alternative
cialis tadalafil tadalafil generic cialis soft
cialis vs viagra cialis 20mg how does cialis work
does viagra work viagra for men natural viagra
viagra dosage generic viagra india purchase viagra
buy discount viagra viagra for sale generic viagra online
tadalafil cialis cialis without a prescription what is tadalafil
You actually mentioned that adequately! https://englishessayhelp.com/
Good facts. With thanks! https://discountedessays.com/
This is nicely put! .
college essay inspiration writing a thesis statement college application essay writing service
Nicely put. Kudos! essay writing competitions writing papers whats a dissertation
Many thanks. I value it. prescription drugs from canada online ed meds online without doctor prescription pharmacy cost comparison
Thanks a lot! Great information!
You reported this superbly!
teacher essay writing cpm homework best resume writing services in nyc
Nicely put, Cheers.
doctor prescription canada pharmacies online pharmacy best canadian pharmacies
Nicely put, Many thanks.
discount pharmacy canadian pharmaceuticals online pharmacy prices compare
Cheers, I like it.
You said it adequately! drug costs canada drug pharmacy pharmacy tech
Regards. An abundance of content.
canada drugs canadian pharmaceuticals online canada pharmaceutical online ordering
tinder app , tinder sign up https://tinderdatingsiteus.com/
http://sansordonnancefr.com – cialis sans ordonnance