Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mkenda Aahidi Nguvu Zaidi Uzalishaji wa Alizeti

Waziri wa Kilimo Prof. Adolf Mkenda akiwa pamoja na Naibu katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Prof.  Siza Tumbo wakipata maelezo kutoka kwa Meneja wa kiwanda cha kukamua mafuta ya alizeti cha Pyxus Agriculture Tanzania Bwana Paul Oreko leo kwenye ziara ya Waziri wa Kilimo Jijini Dodoma.

Na Mwandishi wetu- Dodoma

44 thoughts on “Waziri Mkenda Aahidi Nguvu Zaidi Uzalishaji wa Alizeti

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama