Na Veronica Simba – Dodoma
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani ameshiriki majadiliano ya maendeleo ya miradi mbalimbali ya Serikali inayofadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB).
Majadiliano hayo yalifanyika Aprili 11 mwaka huu Ofisi za Wizara ya Fedha na Mipango Dodoma na kuwashirikisha Waziri husika, Dkt. Philemon Mpango, Waziri Kalemani, mwakilishi kutoka Wizara ya Fedha ya Zanzibar, Halima Wagao, wataalam mbalimbali wa Wizara hizo na Ujumbe kutoka AfDB.
Akizungumza katika kikao hicho, Waziri Kalemani aliipongeza na kuishukuru benki hiyo kwa ushirikiano ambao imekuwa ikiuonesha, hususan katika kufadhili miradi mbalimbali ya maendeleo kwa sekta ya nishati.
Miradi ya nishati iliyojadiliwa katika kikao husika ni pamoja na wa Malagarasi unaohusisha kuzalisha umeme wa megawati 45 pamoja na mradi wa kuzalisha umeme wa Kakono wenye megawati 87.
Aidha, miradi mingine ni pamoja na wa kusafirisha umeme wa kilovoti 220 kutoka Rusumo hadi Nyakanazi na wa kusafirisha umeme wa kilovoti 400 kutoka Singida – Arusha hadi Namanga. Vilevile, mradi wa kusafirisha umeme wa kilovoti 400 kwa umbali wa kilomita 280 kutoka Nyakanazi hadi Kigoma.
Kwa mujibu wa Afisa Nishati Mkuu kutoka Wizara ya Nishati, Mhandisi Salum Inegeja, miradi yote hiyo inafadhiliwa na AfDB kwa namna mbili ambazo ni ama kwa ufadhili wa asilimia kadhaa kwa kushirikiana na wadau wengine au ufadhili wa asilimia 100.
Kuhusu hatua ambazo Serikali imechukua katika kuhakikisha inaboresha utendaji wa TANESCO; suala ambalo Ujumbe wa AfDB ulitaka kujuzwa; Waziri Kalemani alisema uboreshaji huo unahitaji kupitia hatua kadhaa ambazo tayari Serikali imeshaanza kuzitekeleza.
Alizitaja hatua hizo kuwa ni pamoja na kupiga marufuku uagizaji kutoka nje ya nchi, vifaa mbalimbali kama vile nguzo, mashine-umba (transfoma), waya na mita za umeme na badala yake vinunuliwe kwa wazalishaji wa ndani ya nchi.
Alieleza hatua nyingine iliyochukuliwa na Serikali kuwa ni kufupisha muda wa kuwaunganishia wateja huduma ya umeme. “Wateja sasa wanaunganishwa ndani ya siku zisizozidi Saba tofauti na awali ambapo zoezi hilo lilikuwa likichukua muda mrefu zaidi.”
Vilevile, Waziri alieleza kuwa Serikali inazungumza na kampuni za ugavi na usambazaji ambazo zinaidai TANESCO madeni makubwa kusamehe tozo za riba kwa shirika hilo ili kulipunguzia mzigo.
Aidha, hatua nyingine iliyochukuliwa ni kuanzisha na kuwafungia wateja wote mfumo wa mita za umeme za LUKU zinazowezesha kufanyika kwa malipo ya umeme kadri ya matumizi ya mteja husika.
Mawaziri Kalemani na Mpango, waliahidi kuwa Serikali itaweka jitihada za makusudi katika kuhakikisha kwa upande wao wanatekeleza kwa wakati majukumu yote waliyoafikiana ili kuwezesha miradi yote inayohusika inatekelezwa kikamilifu na kwa wakati kama ilivyopangwa kwa manufaa ya wananchi na Taifa kwa ujumla.
Waliwaagiza wataalam katika Wizara zao kukutana na kujadiliana na wataalam kutoka AfDB ili kuweka mambo sawa, kwa ajili ya kuharakisha utekelezaji wa miradi husika.
Pingback: cialis 20
Pingback: Brand viagra
Pingback: generic cialis
Pingback: viagra 50mg
Pingback: cheap viagra
Pingback: non prescription ed pills
Pingback: best erection pills
Pingback: male erection pills
Pingback: cialis generic
Pingback: canadian pharmacy
Pingback: Get cialis
Pingback: buy vardenafil
Pingback: viagra sample
Pingback: cialis tadalafil
Pingback: cash advance online
Pingback: viagra 100mg
Pingback: cialis buy
Pingback: new cialis
Pingback: casino slot
Pingback: casinos online
Pingback: generic cialis tadalafil
Pingback: cialis online reviews
generic for cialis 20 mg http://lm360.us/
generic for viagra http://viagraeiu.com/
can you buy hydroxychloroquine over the counter https://www.herpessymptomsinmen.org/where-to-buy-hydroxychloroquine/
My brother suggested I might like this blog. He was once totally
right. This post truly made my day. You can not believe just
how much time I had spent for this information! Thanks! http://cleckleyfloors.com/
tijuana pharmacy viagra prices
viagra without doctor prescription
how do you order viagra Situg Kig
Pingback: amoxicillin 500mg united states
Hello! I’ve been following your weblog for some time now
and finally got the courage to go ahead and give you
a shout out from Houston Texas! Just wanted to say keep up the great work! http://www.bee-rich.com/
cephalexin prices https://keflex.webbfenix.com/
Pingback: celexa united kingdom
Pingback: online casinos for usa players
Pingback: wellbutrin 300 mg usa
buy viagra cialis levitra online
how long does it take cialis to work
viagra generic ed store Situg Kig
buy real viagra uk
buy cheap viagra online next day delivery
costco prices for cialis Situg Kig
Pingback: where can i buy pioglitazone 15mg
Pingback: fexofenadine 120 mg otc
india pharmacy erectile online drugstore
clomid online shop
soft viagra tabs
viagra generico 25 Situg Kig
Pingback: donepezil nz
Pingback: buy anastrozole
Pingback: dutasteride 0,5mg nz
Pingback: buspirone 10 mg cheap
Pingback: celecoxib 100 mg australia
Pingback: prochlorperazine medication
tinder dating app , tinder online https://tinderdatingsiteus.com/