Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Kairuki Akutana na Wawekezaji

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angellah Kairuki akifafanua jambo kwa Mshauri na Meneja wa Bajeti kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF), Upande wa Afrika Enrique Gelbard (hayupo pichani) alipomtembelea Ofisini kwake leo Oktoba 1, 2019 Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angellah Kairuki , akimsikiliza Mshauri na Meneja wa Bajeti kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF), Upande wa Afrika Enrique Gelbard (kulia) alipomtembelea Ofisini kwake leo Oktoba 1, 2019 Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angellah Kairuki , akiandika anayoyasikia kutoka kwa Mshauri na Meneja wa Bajeti kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF), Upande wa Afrika Enrique Gelbard (kulia), alipomtembelea ofisini kwake leo Oktoba 1, 2019 Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angellah Kairuki akizungumza na Wawekezaji kwenye sekta ya mafuta na gesi kutoka Canada,walipotembelea Ofisini kwake kuangalia fursa za uwekezaji Nchini kwenye Sekta hiyo.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angellah Kairuki akifurahia jambio na Wawekezaji kutoka Canada,walipotembelea Ofisini kwake kuangalia fursa za uwekezaji Nchini kwenye sekta ya mafuta na gesi.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angellah Kairuki akizungumza na Wawekezaji kutoka Uturuki,walipotembelea Ofisini kwake leo Oktoba 1, 2019 Jijini Dar es Salaam, kuangalia fursa za Uwekezaji Nchini.

117 thoughts on “Waziri Kairuki Akutana na Wawekezaji

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama