Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Hasunga Awapongeza Wanunuzi wa Pamba Shinyanga wa Kuwalipa Wakulima kwa Wakati

Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Shinyanga.

Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga leo Agosti 10, 2020 amefanya ziara ya kikazi mkoani Shinyanga ambapo amekagua na kuridhishwa na hali ya ununuzi wa msimu wa pamba kwa mwaka 2020/2021.

Akizungumza mara baada ya kutembelea kiwanda cha kuchambua Pamba cha Afrisian, Aham, GAKI na Fresho, Waziri Hasunga amewapongeza wamiliki wa kampuni hizo kwa mapokezi mazuri ya pamba pamoja na kuwalipa wakulima kwa wakati.

One thought on “Waziri Hasunga Awapongeza Wanunuzi wa Pamba Shinyanga wa Kuwalipa Wakulima kwa Wakati

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *