Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri George Simbachawene Apokelewa Ofisi Ndogo ya Makamu wa Rais Dar es Salaaam

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mussa Sima (kushoto) akimkaribisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Boniface Simbachawene (katikati) katika Ofisi ndogo ya Makamu wa Rais jijini Dar es Salaam mara baada ya kuapishwa Ikulu Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Joseph Malongo.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Boniface Simbachawene akikaribishwa na Bi. Elizabeth Mtiganzi katika Ofisi ndogo ya Makamu wa Rais jijini Dar es Salaam mara baada ya kuapishwa Ikulu Dar es Salaam.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Boniface Simbachawene akizungumza na Watendaji na Watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais (hawapo pichani) katika Ofisi ndogo Dar es Salaam, mara baada ya kuwa kuapishwa Ikulu Dar es Salaam. Pamoja na mambo mengine Mhe. Simbachawene amewataka watendaji hao kushirikiana kwa pamoja.

270 thoughts on “Waziri George Simbachawene Apokelewa Ofisi Ndogo ya Makamu wa Rais Dar es Salaaam

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama