Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Watumishi wa Ubalozi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa jijini New York Watakiwa Kusimamia Matumizi Mazuri ya Fedha za Serikali

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula amekutana na kuzungumza na wafanyakazi wa Ubalozi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa jijini New York na kuwataka kutanguliza uzalendo na kuzingatia sheria, taratibu na kanuni za utumishi wa umma wakati wa kutekeleza majukumu yao kwa faida ya nchi.

27 thoughts on “Watumishi wa Ubalozi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa jijini New York Watakiwa Kusimamia Matumizi Mazuri ya Fedha za Serikali

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama