Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Watanzania Washiriki Tamasha la Utamaduni kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki

Aliyesimama na kushika Microphon Bw. Iddi Suwed Mkurugenzi Mkuu wa Kikundi cha taifa cha tarabu cha Wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar wakati wakitumbuiza nchini Uganda.

Wasanii wa kikundi cha Taifa cha Wizara Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar wakicheza ngoma ya asali ya Zanzibar.

Aliyevaa suti ya bluu na skafu ya bendendera ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanania ni Kaimu Balozi ambaye pia ni Naibu Balozi wa Tanzania Nchini Uganda Bw. Elibariki Maleko, aliyevaa shati jeupe ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wa Tanzania Bara Profesa Elisante Ole Gabriel na Naibu Katibu Mkuu wake Bi. Nuru Milao wakiangalia ngoma za utamaduni katika onesho la usiku.

Baadhi ya Watanzania wakiangalia ngoma za utamaduni wakati wa onesho la sanaa usiku

Wasanii wa kikundi cha Kakau Band kutoka Bukoba wakitumbuiza katika jukwaa la Tanzania wakati wa mchana.

Wasanii wa kikundi cha Taifa cha Utamaduni cha Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar wakicheza ngoma ya Msewe ambayo ni maafuru Kisiwani Pemba. (Picha na: Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki)

 

31 thoughts on “Watanzania Washiriki Tamasha la Utamaduni kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *