Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Watanzania Waaswa Kushiriki Kikamilifu Sensa ya Watu na Makazi 2022


Na Mwandishi wetu- Dodoma
Watanzania wameaswa kujitokeza kushiriki katika Sensa ya Watu na Makazi Mwaka 2022 na Sensa ya Majaribio inayotarajiwa kufanyika Agosti 2021 ili kuiwezesha Serikali kupanga mipango ya maendeleo kwa takwimu za sasa ambazo ni halisi na zinazoakisi mahitaji ya jamii kwa sasa.

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Walemavu  Mhe. Ummy  Nderiananga akizungumza wakati akifungua kikao kazi cha  Wadau kutoa maoni  kwenye dodoso la Sensa   ya Watu na Makazi  mwaka 2022 kwa niaba ya Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Mwigulu   Nchemba leo Julai 12, 2021 Jijini Dodoma.

18 thoughts on “Watanzania Waaswa Kushiriki Kikamilifu Sensa ya Watu na Makazi 2022

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama