Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

 Wananchi watakiwa kuiunga mkono Serikali kwa kuboresha huduma za matibabu ya kibingwa hapa nchini

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel akiwajulia hali wagonjwa wanaotibiwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati wa ziara yake ya kikazi aliyofanya katika Taasisi hiyo leo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuangalia huduma za matibu ya moyo zinazotolewa.

Na Mwandishi Maalum – Dar es Salaam

24/06/2020 Wananchi wametakiwa kuiunga mkono Serikali kutokana na maboresho makubwa yaliyofanywa ya upatikanaji wa huduma za kibingwa za matibabu ya moyo zinazotolewa hapa nchini.

Rai hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na  Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel  alipokuwa akizungumza na wagonjwa wanaotibiwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati wa ziara yake ya kikazi aliyofanya katika Taasisi hiyo  ya kuangalia huduma  za matibu ya moyo zinazotolewa.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel akimsikiliza Msimamizi wa wodi ya watoto Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) alipokuwa akimwelezea kuhusu huduma zinazotolewa katika wodi hiyo wakati wa ziara yake ya kikazi aliyofanya katika Taasisi hiyo leo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuangalia huduma za matibu ya moyo zinazotolewa.

Dkt. Mollel alisema miaka ya nyuma huduma nyingi za kibingwa hazikuwa zinapatikana hapa nchini na hivyo kuifanya Serikali kutumia fedha nyingi kulipia matibabu ya wagonjwa nje ya nchi lakini hivi sasa Serikali imewasomesha wataalamu wa kutosha, imejenga Hospitali za kisasa na kununua vifaa tiba vya kisasa na hivyo  wagonjwa wengi kutibiwa hapa nchini.

“Hivi sasa huduma za matibabu ya kibingwa hapa nchini zimeimarika, kwa upande wa wagonjwa wa moyo wanafanyiwa matibabu ya upasuaji wa kutumia tundu dogo linalotobolewa kwenye paja na upasuaji mkubwa wa kusimamisha moyo na wataalamu wa ndani huduma ambazo hazikuwa zinapatikana hapa nchini,”alisema Dkt. Mollel.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel akimjulia hali mgonjwa aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya matibabu ya moyo wakati wa ziara yake ya kikazi aliyofanya katika Taasisi hiyo leo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuangalia huduma mbalimbali za matibu ya moyo zinazotolewa.

Naibu Waziri huyo alisema kazi za kuboresha sekta ya afya zinazofanywa na Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli zimevuka hadi nje ya nchi ndiyo maana wagonjwa wanakuja kutibiwa hapa nchini  wakitokea  mataifa mbalimbali.

Pia kutokana na  madaktari bingwa wabobezi kuwa  wachache  na ili huduma hii  iweze kuwafikia wananchi wengi zaidi  Serikali imeanzisha program ya tiba mtandao ambayo itawasaidia  wagonjwa walioko mikoani kuweza kupata huduma hukohuko waliko bila ya kufuata huduma hizo Dar es Salaam.

“Kipindi hiki ambacho Dunia  inakabiliwa na janga la ugonjwa Corona mipaka ya nchi nyingi ilikuwa imefungwa watu hawakuwa wanasafiri kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine,  kwa kuwa   Serikali ilikuwa imeboresha huduma za matibabu ya kibingwa ya magonjwa mbalimbali huduma zote hizo zilikuwa zinapatikana hapa nchini na wagonjwa walikuwa wanaendelea  kutibiwa,” alisema Dkt.Mollel.

Kaimu Mkuu wa Idara ya magonjwa ya moyo kwa watu wazima wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) George Longopa akimuonesha Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel namna ambavyo mshipa wa damu wa moyo uliokuwa umeziba na kushindwa kupitisha damu vizuri ulivyozibuliwa kwa kutumia mtambo wa Cathlab wakati wa ziara yake ya kikazi aliyoifanya katika Taasisi hiyo leo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuangalia huduma mbalimbali za matibu ya moyo zinazotolewa.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Prof. Mohamed Janabi alisema changamoto kubwa wanayoipata ni wagonjwa wengi kufika katika Taasisi hiyo wakiwa wamechelewa  huku mioyo yao ikiwa imechoka. Wagonjwa hao wakifanyiwa upasuaji mkubwa wa kusimamisha moyo wanatumia  chupa za damu sita hadi nane lakini kama wangewahi  wangeweza kutumia hadi  chupa mbili za damu.

Prof. Janabi alisema Serikali imefanya uwekezaji kubwa kwa kuanzisha Taasisi hiyo  kwani kabla haijaanzishwa wakati iko Kitengo cha magonjwa ya moyo ndani ya Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kipindi cha miaka saba mwaka 2008 hadi 2015 walifanya upasuaji wa moyo kwa wagonjwa 604 lakini baada ya kuanzishwa kwa mwaka 2016 hadi sasa  wamefanya  upasuaji kwa wagonjwa 1537.

“Tumefanya upasuaji mkubwa wa kusimamisha moyo na kupandikiza mishipa ya damu kwenye moyo (Coronary Artery Bypass Grafting-CABG) kwa wagonjwa 100 ambapo asilimia 92 walipona na asilimia nane walipoteza maisha. Tunashukuru tumeokoa maisha ya watanzania ambao hivi sasa wanaendelea na majukumu yao ya kazi za kila siku”, alisema Prof.Janabi.

Naye Mkurugenzi  Msaidizi wa huduma za Umma na Binafsi kutoka Wizara ya  Afya, Maendeleo ya Jamii ,Jinsia ,Wazee na Watoto Dkt. Vivian Wonanji alisema  wakati ambao nchi yetu inaelekea katika uchumi wa kati idadi ya watu wenye magonjwa yasiyo ya kuambukiza inaongezeka, hii ni kutokana na mfumo wa maisha ambao watu wanaishi .

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi aliyofanya katika Taasisi hiyo leo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuangalia huduma mbalimbali za matibu ya moyo zinazotolewa. Kushoto kwa Naibu Waziri ni Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Prof. Mohamed Janabi

“Mwaka jana Wizara ilizindua mpango wa kukabiliana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza ili kuhakikisha wananchi wanapata elimu ya ufahamu ya magonjwa hayo. Kwa wale ambao wamepata magonjwa hayo yakiwemo magonjwa ya moyo Serikali itahakikisha wanapata huduma za matibabu na ambao hawana magonjwa hayo wanakuwa na uelewa wa kutosha ili waweze kuepuka kupata  magonjwa hayo”, alisema Dkt. Wonanji.

Naibu Waziri Mollel akiwa katika Taasisi hiyo alitembelea wodi ya watoto, Cathlab,  chumba cha upasuaji , wodi ya wagonjwa walioko katika uangalizi maalum, alizungumza na wagonjwa aliowakuta wanapata matibabu pamoja na wafanyakazi.

15 thoughts on “ Wananchi watakiwa kuiunga mkono Serikali kwa kuboresha huduma za matibabu ya kibingwa hapa nchini

 • October 24, 2020 at 6:27 pm
  Permalink

  My wife and i were now fulfilled when Louis managed to finish up his reports because of the ideas he obtained from your own web page. It’s not at all simplistic to just always be giving out guidance which usually some other people could have been trying to sell. Therefore we figure out we need the writer to thank for that. Those explanations you made, the easy website navigation, the friendships you can aid to engender – it’s all excellent, and it’s making our son and us feel that the article is cool, which is tremendously important. Thank you for all!

  Reply
 • October 26, 2020 at 7:12 am
  Permalink

  I wanted to jot down a simple comment in order to say thanks to you for the pleasant secrets you are posting at this website. My rather long internet research has finally been rewarded with extremely good content to talk about with my guests. I ‘d point out that we website visitors are very endowed to live in a magnificent site with many lovely professionals with beneficial guidelines. I feel very much privileged to have discovered your entire website and look forward to really more fun times reading here. Thank you once more for a lot of things.

  Reply
 • October 27, 2020 at 10:53 pm
  Permalink

  I and my friends have already been viewing the best tactics found on your web site while unexpectedly came up with a horrible suspicion I had not thanked the blog owner for those tips. All of the young boys appeared to be passionate to study all of them and already have in truth been taking pleasure in those things. I appreciate you for genuinely well considerate and then for choosing variety of marvelous information millions of individuals are really desperate to be aware of. Our own sincere regret for not expressing gratitude to you sooner.

  Reply
 • October 27, 2020 at 10:54 pm
  Permalink

  I am glad for commenting to let you understand what a fine discovery my friend’s girl experienced viewing your webblog. She came to understand such a lot of pieces, which include what it is like to possess an amazing teaching mindset to let men and women quite simply completely grasp various extremely tough subject areas. You truly did more than readers’ expected results. Thanks for providing the helpful, trustworthy, informative as well as easy tips on the topic to Julie.

  Reply
 • October 31, 2020 at 3:07 am
  Permalink

  I as well as my buddies appeared to be following the excellent points on your site and then before long developed an awful feeling I never expressed respect to the site owner for those secrets. All of the ladies are already totally happy to learn them and have in effect quite simply been loving them. I appreciate you for being quite thoughtful and also for selecting certain beneficial ideas most people are really eager to learn about. My very own honest apologies for not expressing gratitude to earlier.

  Reply
 • November 3, 2020 at 6:27 am
  Permalink

  I have to express appreciation to the writer for bailing me out of this type of crisis. Just after looking through the world wide web and obtaining ideas which were not productive, I assumed my entire life was gone. Existing devoid of the strategies to the problems you have fixed by means of the site is a serious case, and the kind that might have adversely damaged my entire career if I hadn’t encountered your blog post. That ability and kindness in dealing with a lot of stuff was invaluable. I’m not sure what I would’ve done if I had not encountered such a subject like this. It’s possible to at this time look forward to my future. Thank you very much for the reliable and result oriented guide. I will not be reluctant to endorse your web page to anybody who needs to have guidance about this subject.

  Reply
 • November 3, 2020 at 6:34 am
  Permalink

  I am just writing to make you understand what a great encounter my cousin’s princess enjoyed reading your webblog. She figured out so many things, which included what it is like to possess an excellent giving nature to let the rest very easily gain knowledge of several tricky subject matter. You truly exceeded her expectations. Thank you for providing such invaluable, trustworthy, edifying and also easy tips about the topic to Evelyn.

  Reply
 • January 4, 2021 at 4:07 am
  Permalink

  I precisely wanted to thank you so much once again. I do not know the things that I could possibly have taken care of in the absence of these ideas provided by you relating to such problem. It had become the terrifying scenario for me personally, however , encountering a professional tactic you handled that took me to jump with happiness. I’m grateful for this guidance and as well , hope that you find out what a powerful job you’re doing educating some other people through your web blog. More than likely you haven’t encountered all of us.

  Reply
 • January 8, 2021 at 11:18 am
  Permalink

  I and also my buddies came looking at the good guides on your site and all of the sudden I had a terrible feeling I had not expressed respect to the site owner for them. All the men were so glad to see all of them and already have quite simply been enjoying those things. Thanks for turning out to be quite kind as well as for getting variety of superior resources millions of individuals are really eager to understand about. Our sincere apologies for not expressing gratitude to sooner.

  Reply
 • January 9, 2021 at 7:36 am
  Permalink

  I must show some thanks to you just for bailing me out of this type of incident. Because of surfing around through the online world and finding tricks which are not beneficial, I believed my entire life was gone. Living devoid of the solutions to the problems you’ve solved through the guide is a serious case, and the ones that might have badly affected my entire career if I had not discovered your web site. Your own training and kindness in controlling all the details was useful. I don’t know what I would have done if I hadn’t come upon such a point like this. I am able to now relish my future. Thank you very much for your high quality and results-oriented help. I will not think twice to endorse your web blog to any person who requires guide about this problem.

  Reply
 • January 9, 2021 at 9:31 pm
  Permalink

  My wife and i have been absolutely more than happy Edward could round up his analysis through the entire precious recommendations he made from your site. It’s not at all simplistic to simply possibly be giving for free methods that many others might have been trying to sell. Therefore we keep in mind we have got the writer to thank for that. Most of the illustrations you have made, the simple blog navigation, the friendships your site make it possible to create – it’s most unbelievable, and it’s really leading our son and our family recognize that the issue is amusing, which is exceptionally indispensable. Many thanks for the whole lot!

  Reply
 • January 11, 2021 at 4:08 am
  Permalink

  I intended to put you this very small observation to finally give thanks again with the magnificent principles you’ve discussed on this website. It has been simply seriously generous with you to allow easily exactly what numerous people could possibly have marketed for an e book to help with making some profit for themselves, principally considering the fact that you could have done it in the event you desired. The ideas also acted to provide a good way to be sure that other individuals have a similar fervor like mine to grasp a great deal more around this problem. I think there are thousands of more enjoyable moments in the future for those who find out your blog.

  Reply
 • January 15, 2021 at 11:37 am
  Permalink

  I and my friends appeared to be following the nice secrets and techniques located on your website then instantly got a horrible suspicion I had not thanked the website owner for those strategies. Most of the boys had been as a result joyful to read them and have in effect surely been taking pleasure in them. Many thanks for truly being so kind and for selecting this kind of exceptional issues millions of individuals are really wanting to learn about. My very own honest apologies for not saying thanks to you sooner.

  Reply
 • January 15, 2021 at 11:37 am
  Permalink

  I have to show some thanks to you for bailing me out of such a problem. Because of researching throughout the world wide web and meeting methods which were not beneficial, I thought my entire life was gone. Living minus the solutions to the difficulties you’ve fixed through your main posting is a critical case, as well as ones that would have adversely damaged my entire career if I hadn’t encountered your blog. Your main talents and kindness in dealing with almost everything was vital. I’m not sure what I would’ve done if I hadn’t discovered such a point like this. I can now look ahead to my future. Thank you very much for this high quality and effective help. I won’t hesitate to suggest the blog to anybody who will need tips on this issue.

  Reply
 • January 23, 2021 at 2:14 am
  Permalink

  I simply wanted to write down a quick comment to thank you for all the nice points you are giving on this site. My considerable internet look up has at the end of the day been compensated with professional ideas to exchange with my visitors. I ‘d say that most of us visitors actually are undeniably endowed to exist in a fine network with so many lovely people with helpful tips and hints. I feel very much blessed to have come across your weblog and look forward to some more fabulous moments reading here. Thank you once more for all the details.

  Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *