Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Wananchi Waaswa Kuwafichua Wahamiaji Haramu

Na Mwandishi Wetu

Serikali imewaasa wananchi kutoa taarifa za kuwepo wahamiaji wanaoishi maeneo mbalimbali  nchini kinyume na sheria  za nchi ili raia wema waweze kufanya shughuli za maendeleo kwa amani na salama huku ikiwaasa watumishi wa Idara ya Uhamiaji kuwa waadilifu katika maeneo yao ya kazi.

Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wahamiaji Duniani, yaliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja yenye kauli mbiu ya Uhamiaji Unaozingatia Utu

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dk. Anna Makakala, akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wahamiaji Duniani, ambayo kwa hapa nchini yamefanyika leo, katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.Kauli mbiu ikiwa Uhamiaji Unaozingatia Utu..

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wahamiaji Duniani, ambayo kwa hapa nchini yamefamyika leo, katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.Kauli mbiu ikiwa Uhamiaji Unaozingatia Utu

Akizungumza kwenye maadhimisho hayo Naibu Waziri Masauni amesema ni lazima wananchi washirikiane na vyombo vya ulinzi na usalama kufichua wahamiaji haramu wanaoishi maeneo mbalimbali nchini.

“Serikali ya Tanzania inaheshimu haki za kila mtu na ndio maana tumeingia mikataba mbalimbali ya kimataifa yenye kulinda utu wa kila raia awe raia au mgeni aliyepo nchini, lakini hatutokuwa tayari kuona wahamiaji wasiofuata sheria za nchi wakiingia nchini kinyume na  taratibu zilizowekwa,” alisema Masauni

“Nawasihi wananchi watoe ushirikiano kwa vyombo vya ulinzi na usalama kufichua wageni wanaoingia nchini kinyume na utaratibu kwani wakiwaacha wanaweza kuvuruga amani na utulivu uliopo nchini.” Aliongeza Masauni.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akisikiliza maelezo juu ya historia ya mabadiliko ya Pasi za Kusafiria kutoka kwa mtaalamu wa pasi hizo, Sajini wa Uhamiaji, Vedasto Rweikiza(kulia), wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wahamiaji Duniani, ambayo kwa hapa nchini yamefanyika leo, katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.Kauli mbiu ikiwa Uhamiaji Unaozingatia Utu. Kushoto ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dk. Anna Makakala.

Akizungumza wakati wa maadhimisho hayo Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala amesema Idara yake itaendelea kutumia teknolojia katika kuendesha shughuli za uhamiaji lengo ikiwa kudhibiti uhalifu na kuiongezea mapato serikali huku akiahidi kuzuia na kudhibiti wahamiaji wanaoingia nchini kinyume na taratibu

Siku ya Maadhimisho ya Wahamaji Duniani huadhimishwa kila mwaka ifikapo Disemba 18 huku Kauli Mbiu ya Mwaka huu ni “Uhamiaji Unaozingatia Utu”

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala (kushoto), wakiangalia pasi ya kusafiria walipotembelea mabanda ya maonyesho wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wahamiaji Duniani, ambayo kwa hapa nchini yamefamyika leo, katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.Kauli mbiu ikiwa Uhamiaji Unaozingatia Utu.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA), Dkt. Anold Kihaule, akisikiliza maelezo kutoka kwa mtaalamu wa pasi za kusafiria, Sajini wa Uhamiaji, Vedasto Rweikiza (kulia), wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wahamiaji Duniani, ambayo kwa hapa nchini yamefanyika leo, katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.Kauli mbiu ikiwa Uhamiaji Unaozingatia Utu.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akipokea zawadi kutoka kwa Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji, Salma Panja (kulia), baada ya kutembelea mabanda ya maonyesho wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wahamiaji Duniani, ambayo kwa hapa nchini yamefanyika leo, katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam. Kauli mbiu ikiwa Uhamiaji Unaozingatia Utu. Kushoto ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dk. Anna Makakala.

17 thoughts on “Wananchi Waaswa Kuwafichua Wahamiaji Haramu

 • August 10, 2020 at 5:28 pm
  Permalink

  I blog often and I really thank you for your information. This great article
  has truly peaked my interest. I will book mark your website and keep
  checking for new details about once a week. I subscribed to your Feed too.
  adreamoftrains website hosting companies

  Reply
 • August 11, 2020 at 9:07 am
  Permalink

  Thanks for finally writing about > Wananchi Waaswa Kuwafichua Wahamiaji Haramu | JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA < Loved it!

  Reply
 • August 26, 2020 at 6:48 am
  Permalink

  Thanks for finally writing about > Wananchi Waaswa Kuwafichua Wahamiaji Haramu
  | JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA < Liked it! 31muvXS cheap flights

  Reply
 • August 26, 2020 at 7:51 pm
  Permalink

  Right here is the right web site for anyone who
  would like to understand this topic. You know so much its almost tough to argue with you (not that I actually will need to…HaHa).
  You certainly put a fresh spin on a subject that’s been written about for decades.
  Great stuff, just wonderful! 31muvXS cheap flights

  Reply
 • August 26, 2020 at 11:28 pm
  Permalink

  My spouse and I stumbled over here from a different page
  and thought I might as well check things out.

  I like what I see so i am just following you.
  Look forward to finding out about your web page repeatedly.

  Reply
 • August 28, 2020 at 5:01 pm
  Permalink

  Hey there would you mind stating which blog platform you’re working with?
  I’m going to start my own blog in the near future but I’m having a difficult time deciding between BlogEngine/Wordpress/B2evolution and Drupal.
  The reason I ask is because your layout seems different
  then most blogs and I’m looking for something completely
  unique. P.S Sorry for getting off-topic but I had to ask!

  Reply
 • October 26, 2020 at 1:31 pm
  Permalink

  Could I borrow your phone, please? atomic blade fins ebay Latest Reuters polling of economists shows a consensus forthe Fed tapering by a modest $10 billion compared to $15 billionin August, although there were a variety of views in the marketfor how high a figure was priced in.

  Reply
 • October 26, 2020 at 9:43 pm
  Permalink

  A law firm minoxidil foam vs liquid effectiveness beard In four seasons with the Browns, the 6-foot-2 Massaquoi never caught more than 36 passes in a season. He left as a free agent, signing a two-year contract with the Jaguars. The Jets had expressed a mild interest in him at the start of free agency.

  Reply
 • October 27, 2020 at 5:48 am
  Permalink

  Accountant supermarket manager fluconazole azithromycin secnidazole kit of 4 tablets uses in hindi Hit by slumping orders and competition from competitors suchas Samsung Electronics Co Ltd, Renesas was given alifeline from the government-led fund last December to counteran earlier bid by U.S. private equity firm KKR & Co LP. ($1 = 98.2550 Japanese yen) (Reporting by Sophie Knight; Editing by Miral Fahmy)

  Reply
 • October 27, 2020 at 8:37 am
  Permalink

  I’m a partner in lloyds pharmacy ibuprofen gel “Sanchez, to me, is a tough one. Why he is ‘disliked’ is a little bit strange,” Van Riper said. “He’s a quarterback in New York. He has not progressed, most people think, to where they thought he would be when you look at where he was a few years ago.”

  Reply
 • October 27, 2020 at 9:20 am
  Permalink

  I’ve got a part-time job mega 2000 royal jelly benefits “The one thing I learned was how empty fame and worldly success really are. … The desire for success never stopped,” Lin, a devout Christian, said. “If the voice that you listen to the most isn’t God’s voice, then eventually you will experience that emptiness, confusion and misery that I felt when I listened to the voice of Linsanity.”

  Reply
 • October 27, 2020 at 10:03 am
  Permalink

  What are the hours of work? losartankalium terugroepactie Leaders of the Democratic-led Senate rejected the proposal to reopen the government and raise the debt ceiling Saturday before heading down Pennsylvania Avenue to meet with President Obama at the White House.

  Reply
 • October 27, 2020 at 10:46 am
  Permalink

  Languages micardis harga “I cannot take Tommy Robinson or Kevin Carroll's announcement seriously until they reject their fascist views on Islam and Muslims and would caution other organisations celebrating this announcement as a massive personal achievement.”

  Reply
 • October 27, 2020 at 12:09 pm
  Permalink

  Have you seen any good films recently? does aleve contain sulfa At the Palace Resorts on Riviera Maya, if you book a five-night’s stay through Dec. 15, you can take advantage of $1500 in resort credit to cover spa, golf, dolphin encounters, sightseeing excursions, special romantic suppers and more.

  Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *