Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Wamiliki wa Maabara Binafsi za Afya Wahimizwa Kufuata Sheria

Msajili wa Maabara binafsi za Afya Bw. Dominic Fwiling’afu akitoa elimu kwa mtaalamu wa maabara wakati wa ukaguzi wa maabara jijini Dar es Salaam

Wamiliki wa Maabara Binafsi za Afya wameelekezwa kufuata sheria na taratibu zinazosimamia uendeshwaji wa Maabara hizo ili wagonjwa wapate majibu  sahihi yatakayopelekea huduma bora za matibabu kwa wagonjwa.

Hayo yamebainishwa na Msajili wa Bodi  ya Maabara Binafsi  za Afya nchini Bw. Dominic Fwiling’afu wakati wa ukaguzi wa Maabara Binafsi za Afya katika Wilaya zote za jiji la Dar es Salaam.

4 thoughts on “Wamiliki wa Maabara Binafsi za Afya Wahimizwa Kufuata Sheria

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *