
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa –TAMISEMI Mhe.Selemani Jaffo akizungumza na Maafisa Utamaduni wa mikoa na Halmashauri zote nchini (hawapo katika picha) wakati akifunga Kikao Kazi cha Sekta hiyo kilichofanyika kwa siku mbili Jijini Dodoma.
Na Shamimu Nyaki -WHUSM
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe.Seleman Jaffo amewaagiza Wakuu wa Mikoa na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri zote nchini kuwawezesha Maafisa Utamaduni kwa kuwaongezea Bajeti itakayowawezesha kutimiza majukumu yao kwa ufasaha.
Agizo hilo amelitoa leo Jijini Dodoma wakati alipokuwa akifunga Kikao Kazi cha 11 cha Maafisa Utamaduni kilichofanyika kwa siku mbili ambapo amewaagiza Wakurugenzi kutambua majukumu ya maafisa Utamaduni ikiwemo kuhifadhi kuendeleza mila na desturi pamoja na kukuza lugha ya kiswahili.
“Sekta hii ni muhimu sana kwakua ina wajibu wa kuelimisha na kuburudisha,hivyo naendelea kuwasitiza Wakurugenzi kuwawezesha Maafisa Utamaduni kushiriki katika kila Mkutano,kongamano,warsha zote zinazohusu sekta hiyo”.Alisema Mhe. Jaffo.

Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bibi Susan Mlawi. Akizungumza na Maafisa Utamaduni wa Mikoa na Halmashauri zote nchini (hawapo katika picha) wakati akifunga Kikao Kazi cha Sekta hiyo kilichofanyika kwa siku mbili Jijini Dodoma.
Aidha ameongeza kuwa thamani ya maafisa Utamaduni ni lazima ionekane kwakua ndio tasnia inayofundisha na kukuza Uzalendo hasa kujua alama,nyimbo na tunu za Taifa kwa vijana na wanafunzi nchini.
Katika hatua nyingine Mhe.Jaffo amewahakikishia Maafisa Utamaduni kuwa wavumilivu kuhusu muundo wa Kada hiyo ambapo amewaahidi kuwa suala hilo limepokelewa na Serikali itaanza mchakato wake ili kutatua changamoto hiyo.
Kwa upande wake Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bibi. Susan Mlawi amesema kuwa Kikao Kazi hicho ni sehemu ya utekelezaji wa Sera ya Utamaduni ya mwaka 1997 inayoeleza kuwa Wasimamizi na Watendaji wakuu wa shughuli za Utamaduni katika ngazi ya Taifa, Mkoa Wilaya na Taasisi za elimu na mafunzo kupata mafunzo ya uendeshaji ili kuwawezesha kutekeleza majukumu yao.

Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Utamaduni Bw.Boniface Kadili akitoa maelezo mafupi kuhusu ya Sekta yake wakati wa ufungaji wa Kikao Kazi cha Maafisa Utamaduni wa Mikoa na Halmashauri zote nchini kilichofanyika kwa siku mbili Jijini Dodoma.

Baadhi ya Maafisa Utamaduni wa Mikoa na Halmashauri nchini wakifuatilia Kikao Kazi cha Sekta hiyo kilichofanyika kwa siku mbili Jijini Dodoma.
“Kikao Kazi hiki kimepitisha maazimio yatakayokuwa mwongozo katika kuboresha utendaji wa Sekta hii ili kuimarisha utendaji kazi Ki-muundo na kisera baina ya maafisa Utamadduni wote waliopo Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo pamoja na Ofisi ya Rais TAMISEMI”.Alisema Bibi Susan.
Naye Afisa Utamaduni Wilaya ya Urambo Bw.Tito Lulandala ameeleza kuwa Sekta ya Utamaduni ina fursa nyingi zinazoweza kukuza pato la mwananchi mmoja na Taifa kwa ujumla katika nyanja mbalimbali ikwemo Michezo Sanaa na kukuza Utalii.
Katika kikao kazi hicho mada mbalimbali zilijadiliwa ikiwemo Umuhimu wa Ubidhaishaji wa lugha ya kiswahili,Uhuishaji wa Sera ya Utamaduni,Sekta ya Filamu nyenzo muhimu katika kuimarisha Asili na Utamaduni
,Fursa za utalii wa Kiutamaduni na nyinginezo.
Pingback: cialis from canada
Pingback: cialis daily cost
Pingback: Best price for generic viagra
Pingback: buying cialis cheap
Pingback: viagra 50mg
Pingback: ed pills that really work
Pingback: ed pills that really work
Pingback: best ed medication
Pingback: cialis for sale
Pingback: pharmacy online
Pingback: canada online pharmacy
Pingback: online pharmacy
Pingback: Buy cialis online
Pingback: Viagra or cialis
Pingback: levitra 10mg
Pingback: levitra
Pingback: vardenafil pill
Pingback: best online casino usa
Pingback: party casino online nj
Pingback: viagra online pharmacy
Pingback: pala casino online
Pingback: casino real money
Pingback: tadalafil cialis
Pingback: online loans
Pingback: cash payday
Pingback: installment loans
Pingback: viagra for sale
Pingback: trang ch? trang ch?
Pingback: cialis internet
Pingback: 5 mg cialis
Pingback: empire casino online
Pingback: casino real money
Pingback: play online casino real money
Pingback: gambling casino
Pingback: what is sildenafil
ed cures natural drugs for ed the best ed pills
viagra over the counter usa 2020 viagra canada viagra pills
pharmacy discount card longs drug store best drugstore mascara
mail order pharmacy http://pharmacy-onlineasxs.com/ thrifty drug store
pharmacy rx wall drug store discount pharmacy card