Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Wabunge Wapitisha Azimio la Kumpongeza Rais Magufuli

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuhairisha Mkutano wa 17 wa Bunge la 11 leo tarehe 15/11/2019 jijini Dodoma.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuhairisha Mkutano wa 17 wa Bunge la 11 leo tarehe 15/11/2019 jijini Dodoma.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Job Ndugai akizungumza wakati wa kuhitimisha kikao cha 17 cha Mkutano wa 11 wa Bunge leo tarehe 15/11/2019 jijini Dodoma.

Mbunge wa Jimbo la Bukoba Vijijini Mhe. Jason Rwekiza akiwasilisha hoja binafsi ya kuazimia Bunge kumpongeza Rais Dkt. John Pombe Magufuli kutokana na kazi nzuri anayoifanya wakati wa kuhitimisha kikao cha 17 cha Mkutano wa 11 wa Bunge leo tarehe 15/11/2019 jijini Dodoma.

Mbunge wa Jimbo la Ulanga Mhe. Goodlucky Mlinga akichangia hoja kuhusu azimio la Bunge kumpongeza Rais Dkt. John Pombe Magufuli kutokana na kazi nzuri anayoifanya wakati wa kuhitimisha kikao cha 17 cha Mkutano wa 11 wa Bunge leo tarehe 15/11/2019 jijini Dodoma.

Mbunge wa Jimbo la Muleba Kaskazini, Mhe Charles Mwijage akichangia hoja kuhusu azimio la Bunge kumpongeza Rais Dkt. John Pombe Magufuli kutokana na kazi nzuri anayoifanya wakati wa kuhitimisha kikao cha 17 cha Mkutano wa 11 wa Bunge leo tarehe 15/11/2019 jijini Dodoma.

Mbunge wa Jimbo la Sumve, Mhe Richard Ndassa akichangia hoja kuhusu azimio la Bunge kumpongeza Rais Dkt. John Pombe Magufuli kutokana na kazi nzuri anayoifanya wakati wa kuhitimisha kikao cha 17 cha Mkutano wa 11 wa Bunge leo tarehe 15/11/2019 jijini Dodoma.

Mbunge wa Mbunge wa Viti Maalum CCM, Mhe. Amina Mollel akichangia hoja kuhusu azimio la Bunge kumpongeza Rais Dkt. John Pombe Magufuli kutokana na kazi nzuri anayoifanya wakati wa kuhitimisha kikao cha 17 cha Mkutano wa 11 wa Bunge leo tarehe 15/11/2019 jijini Dodoma.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipongezwa na Baadhi ya Mawaziri na Manaibu Mawaziri mara baada ya kumaliza hotuba yake ya kuhairisha Mkutano wa 17 wa Bunge la 11 leo tarehe 15/11/2019 jijini Dodoma.Aliyeshikana naye mkono ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira, katikati ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Ajira, Vijana, Kazi, Ajira na Wenye ulemavu Jenista Mhagama.

Kikundi cha Brass Band kikiongoza kuimba wimbo wa taifa wakati wa kuhairisha Mkutano wa 17 wa Bunge la 11 leo tarehe 15/11/2019 jijini Dodoma.(Picha na Idara ya Habari – MAELEZO)

351 thoughts on “Wabunge Wapitisha Azimio la Kumpongeza Rais Magufuli

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama