Na Lilian Lundo – MAELEZO
Idara ya Habari (MAELEZO) na Vyombo vya Habari hapa nchini vimeagizwa kutoa elimu ya sensa ya watu na makazi inayotarajiwa kufanyika Agosti 23 mwaka huu, ili wananchi waweze kuelewa lengo na faida ya sensa hiyo kwao binafsi na kwa Taifa.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mohammed Abdulla ametoa agizo hilo leo Mei 27, 2022 katika mkutano wa wamiliki wa vyombo vya habari kuhusu maandalizi ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 uliofanyika kituo cha mikutano cha kimataifa cha Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.
“Naiagiza Idara ya Habari (MAELEZO) kushirikiana na ofisi ya Takwimu pamoja na Wanahabari kutoa elimu ya sensa kwa Watanzania ili waweze kutoa taarifa sahihi wakati wa kuhesabiwa,” alifafanua Naibu Katibu Mkuu.
Aliendelea kusema kuwa, vyombo hivyo vya habari vitoe elimu kwa Wananchi juu ya umuhimu wa kutoa taarifa sahihi wakati wa sensa, kwani utoaji wa taarifa sahihi ni jambo muhimu sana katika sensa, ambapo ikiwa taarifa zitakazokusanywa zitakuwa sahihi maana yake kutakuwa na Sera na Mipango sahihi ya maendeleo ya nchi kwa ujumla.
https://stromectolgf.online/# ivermectin 3mg pill
buy prescription drugs from canada cheap discount prescription drugs
prednisone prescription online buying prednisone from canada
https://buytadalafil.men/# tadalafil mexico price
metformin generic price where to buy metformin tablets
ed medication ed medications list
diflucan over the counter nz diflucan for sale uk
https://withoutprescription.store/# canada ed drugs