Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Vijana Watakiwa Kumuenzi Mwalimu Nyerere kwa Vitendo

Mkuu wa Wilaya ya Singida ambaye pia alikuwa Mwenyekiti wa Kongamano la Kumbukizi ya miaka 20 tangu Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Nyerere afariki, Mhandisi Paskasi Muragili (kushoto) akisalimina na Afisa Maendeleo ya Jamii Mkoa wa Singida, Bw. Patrick Kasonga ikiwa ni kutambua mchango wake katika masuala ya kilimo na lishe leo mjini Singida. Kongamano hilo limehusisha wanafunzi kutoa Chuo cha Utumishi wa Umma Singida, Shule ya Sekondari Mwenge, Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Singida na Chuo cha watu wenyeulemvu Sabasaba. Kongamano hilo limeandaliwa na ikiwa ni ikiwa ni kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Chakula Dunia ambayo kitaifa inafanyika tarehe 16 Oktoba 2019 mkoani Singida.

Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi akichangia mada wakati wa Kongamano la Kumbukizi ya miaka 20 tangu Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Nyerere afariki ikiwa ni kutambua mchango wake katika masuala ya kilimo na lishe leo mjini Singida. Kongamano hilo limehusisha wanafunzi kutoa Chuo cha Utumishi wa Umma Singida, Shule ya Sekondari Mwenge, Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Singida na Chuo cha watu wenyeulemvu Sabasaba. Kongamano hilo limeandaliwa kama sehemu ya matukio kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Chakula Dunia ambayo kitaifa inafanyika tarehe 16 Oktoba 2019 mkoani Singida.

Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Kumbukizi ya miaka 20 tangu Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Nyerere afariki ikiwa ni kutambua mchango wake katika masuala ya kilimo na lishe leo mjini Singida. Kongamano hilo limehusisha wanafunzi kutoa Chuo cha Utumishi wa Umma Singida, Shule ya Sekondari Mwenge, Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Singida na Chuo cha watu wenyeulemvu Sabasaba. Kongamano hilo limeandaliwa kama sehemu ya matukio kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Chakula Dunia ambayo kitaifa inafanyika tarehe 16 Oktoba 2019 mkoani Singida.

Mwanafunzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC – Singida), Bi.Regina Kinshaga akichangia mada wakati wa Kongamano la Kumbukizi ya miaka 20 tangu Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Nyerere afariki ikiwa ni kutambua mchango wake katika masuala ya kilimo na lishe leo mjini Singida. Kongamano hilo limehusisha wanafunzi kutoa Chuo cha Utumishi wa Umma Singida, Shule ya Sekondari Mwenge, Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Singida na Chuo cha watu wenyeulemvu Sabasaba. Kongamano hilo limeandaliwa kama sehemu ya matukio kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Chakula Dunia ambayo kitaifa inafanyika tarehe 16 Oktoba 2019 mkoani Singida.

Mshindi wa pili katika shindano la uchoraji wa picha ya Mwalimu Julius Nyerere, Bw. Calvin Kaaya akipokea zawadi toka kwa Mkuu wa Wilaya ya Singida ambaye pia alikuwa Mwenyekiti wa Kongamano la Kumbukizi ya miaka 20 tangu Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Nyerere afariki, Mhandisi Paskasi Muragili wakati wa Kongamano hilo leo mjini Singida.

Mshindi wa kwanza katika shindano la uchoraji wa picha ya Mwalimu Julius Nyerere, upande wa wanafunzi wa shule za msingi mkoani Singida iakipokea zawadi toka kwa Mkuu wa Wilaya ya Singida ambaye pia alikuwa Mwenyekiti wa Kongamano la Kumbukizi ya miaka 20 tangu Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Nyerere afariki, Mhandisi Paskasi Muragili wakati wa Kongamano hilo leo mjini Singida.

Mkuu wa Mkoa wa Singida akiwatuza Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mwenge wakati wakionesha igizo katika Kongamano la Kumbukizi ya miaka 20 tangu Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Nyerere afariki ikiwa ni kutambua mchango wake katika masuala ya kilimo na lishe leo mjini Singida. Kongamano hilo limehusisha wanafunzi kutoa Chuo cha Utumishi wa Umma Singida, Shule ya Sekondari Mwenge, Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Singida na Chuo cha watu wenyeulemvu Sabasaba. Kongamano hilo limeandaliwa kama sehemu ya matukio kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Chakula Dunia ambayo kitaifa inafanyika tarehe 16 Oktoba 2019 mkoani Singida. (Picha na Idara ya Habari – MAELEZO)

2 thoughts on “Vijana Watakiwa Kumuenzi Mwalimu Nyerere kwa Vitendo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama