Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Uzinduzi wa Mafunzo ya Stadi za Kazi Kwa Vijana na Maadhimisho ya Miaka Mia ya ILO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, wakati akiwasili katika viwanja vya Don Bosco, kwenye uzinduzi wa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana na uwekaji wa kumbukumbu ya miaka 100 ya ILO, jijini Dodoma, Septemba 14.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia vipuri vilivyo chongwa na wanafunzi wa Chuo cha Don Bosco Dodoma, kwenye uzinduzi wa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana na uwekaji wa kumbukumbu ya miaka 100 wa ILO, uliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco, jijini Dodoma, Septemba 14.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia dawati lililotengenezwa katika Chuo cha Don Bosco Dodoma, kwenye uzinduzi wa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana na uwekaji wa kumbukumbu ya miaka 100 wa ILO, uliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco, jijini Dodoma, Septemba 14.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mfano wa nyumba uliyojengwa na matofali ya kisasa ya kupachika , kwenye uzinduzi wa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana na uwekaji wa kumbukumbu ya miaka 100 wa ILO, uliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco, jijini Dodoma, Septemba 14.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia ramani za nyumba zinazojengwa na matofali ya kisasa ya kupachika , kwenye uzinduzi wa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana na uwekaji wa kumbukumbu ya miaka 100 wa ILO, uliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco, jijini Dodoma, Septemba 14.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akihutubia kwenye uzinduzi wa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana na uwekaji wa kumbukumbu ya miaka 100 wa ILO, uliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco, jijini Dodoma, Septemba 14.2019.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akizungumza, kwenye uzinduzi wa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana na uwekaji wa kumbukumbu ya miaka 100 wa ILO, uliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco, jijini Dodoma, Septemba 14.2019.

Makamu Mkuu wa Shirika la Don Bosco Kanda ya Afrika, Augustine Sellam akizungumza, kwenye uzinduzi wa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana na uwekaji wa kumbukumbu ya miaka 100 wa ILO, uliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco, jijini Dodoma, Septemba 14.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Makamu Mkuu wa Shirika la Don Bosco Kanda ya Afrika, Augustine Sellam akizungumza, kwenye uzinduzi wa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana na uwekaji wa kumbukumbu ya miaka 100 wa ILO, uliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco, jijini Dodoma, Septemba 14.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Makamu Mkuu wa Shirika la Don Bosco Kanda ya Afrika, Augustine Sellam akizungumza, kwenye uzinduzi wa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana na uwekaji wa kumbukumbu ya miaka 100 wa ILO, uliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco, jijini Dodoma, Septemba 14.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiweka jiwe la kumbukumbu na upandaji miti 100, kuadhimisha miaka 100 ya ILO, katika mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma, Septemba 14.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipanda mti katika kuadhimisha miaka 100 ya ILO na upandaji miti 100, katika mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma, Septemba 14.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimwagilia mti katika kuadhimisha miaka 100 ya ILO na upandaji miti 100, katika mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma, Septemba 14.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

45 thoughts on “Uzinduzi wa Mafunzo ya Stadi za Kazi Kwa Vijana na Maadhimisho ya Miaka Mia ya ILO

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama