Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Utendaji Kazi Bodi ya Filamu Wawakuna Waendesha Biashara za Utalii

Katibu Mtendaji wa Bodiya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo akifafanua jambo wakati wa kikao kazi na wadau wa sekta ya Filamu ambao pia ni Wanachama wa Chama Cha Waendeshaji wa Biashara ya Utali Tanzania (TATO) jana Jijini Arusha. Lengo la kikao hicho ni kuwajengea uelewa wadau hao wa filamu kuhusu taratibu mbalimbali za kuzingatia pindi wanapojihusisha na masuala ya filamu. Kulia ni Afisa Maendeleo ya Filamu Benson Mkenda.

Afisa Maendeleo ya Filamu kutoka Bodi ya Filamu Tanzania Benson Mkenda akifafanua jambo wakati wa kikao kazi na wadau wa sekta ya Filamu ambao pia ni Wanachama wa Chama Cha Waendeshaji wa Biashara ya Utali Tanzania (TATO) jana Jijini Arusha. Lengo la kikao hicho ni kuwajengea uelewa wadau hao wa filamu kuhusu taratibu mbalimbali za kuzingatia pindi wanapojihusisha na masuala ya filamu. Kushoto ni Katibu Mtendaj wa Bodiya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo.

Mhasibu kutoka Bodi ya Filamu Tanzania Adrian Nekemia akitoa ufafanuzi kuhusu namna wanavyoshughulikia malipo ya wadau wanapowasilisha maombi ya vibali vya filamu katika ofisi yao wakati wa kikao kazi na wadau wa sekta ya Filamu ambao pia ni Wanachama wa Chama Cha Waendeshaji wa Biashara ya Utali Tanzania (TATO) jana Jijini Arusha. Lengo la kikao hicho ni kuwajengea uelewa wadau hao wa filamu kuhusu taratibu mbalimbali za kuzingatia pindi wanapojihusisha na masuala ya filamu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama