Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Upanuzi wa Barabara ya Morogoro kwa njia nane kuanzia Kimara –Kibaha katika picha

Upanuzi wa Barabara ya Morogoro kwa njia nane kuanzia Kimara –Kibaha unaendelea kwa kasi kubwa kama inavyoonekana pichani katika maeneo ya Kimara, Mbezi na Kibamba hivyo kuanza kupunguza msongamano mkubwa wa magari katika barabara hiyo ya Morogoro.

115 thoughts on “Upanuzi wa Barabara ya Morogoro kwa njia nane kuanzia Kimara –Kibaha katika picha

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama