Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Upanuzi wa Barabara ya Morocco – Mwenge washika kasi

Upanuzi wa Barabara ya Morocco – Mwenge ukiendelea kwa kasi katika eneo la Sayansi na Bamaga pamoja na Barabara ya Shekilango-Bamaga inayojengwa pia kwa njia nne kama inavyoonekana pichani.

Sehemu ya Mitaa ya Mwananyamala Bwawani ambayo barabara zake zimejengwa kwa Zege na kuondoa kero ya miaka mingi ya barabara hizo za mitaa. 

4 thoughts on “Upanuzi wa Barabara ya Morocco – Mwenge washika kasi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama