Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Ujumbe wa CRDB Wafanya Ziara Tume ya Madini

Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Dk. Charles Kimei (kulia) akibadilishana mawazo na Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya (kushoto) kwenye Ofisi za Tume ya Madini zilizopo jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Dk. Charles Kimei (kulia) akifafanua jambo kwenye kikao kilichoshirikisha ujumbe wake na Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya

Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya akifafanua jambo

113 thoughts on “Ujumbe wa CRDB Wafanya Ziara Tume ya Madini

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama